Hassan Mambosasa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 3,359
- 4,528
Angekuwahi wewe ingekuwaje?Nilichomfanya huyu mwezi uliopita mungu ndio anajuaView attachment 1389899View attachment 1389900View attachment 1389901
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angekuwahi wewe ingekuwaje?Nilichomfanya huyu mwezi uliopita mungu ndio anajuaView attachment 1389899View attachment 1389900View attachment 1389901
Sent using Jamii Forums mobile app
Broo mshana kuchapwa na mkia wa kenge ni story tu za kusadikika mimi imenitokea sana utotoni lakini mpaka sasa na utu uzima nilionao hakuna madhara yoyote nimepata kwa kuchapwa na mkia wa kenge
AiseeeeeChemsha mayai kadhaa kisha fanya timming umtegeshee hapo anapoingilia kuja kula.
Ujinga wa kenge huwa yai analibugia na kulivunjia kooni. Yai lililochemshwa halivunjiki so akibugia lazma lita clog njia ya hewa atabaki anatapa tapa mpaka kufa kwake.
Kama nundu ya moo
Jr[emoji769]
No ni ile ile ya airtel ama umebadili [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Mimi ninayo
Jr[emoji769]
Maana ukibugi tu, atakutandika mkia huo hadi ushindwe kutembea
Ni ushauri mzuri, ila ugumu uko kwenye "timing", mayai yawezakaa mpaka yakapoa na kenge asitokee!Chemsha mayai kadhaa kisha fanya timming umtegeshee hapo anapoingilia kuja kula.
Ujinga wa kenge huwa yai analibugia na kulivunjia kooni. Yai lililochemshwa halivunjiki so akibugia lazma lita clog njia ya hewa atabaki anatapa tapa mpaka kufa kwake.
Yanatakiwa yawe katika normal temperature tu. Akigusa la moto si ataliacha kwa kuungua tu. Likishapoa ataona yako kawaida tu atabugia kilafi tu.Ni ushauri mzuri, ila ugumu uko kwenye "timing", mayai yawezakaa mpaka yakapoa na kenge asitokee!
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaah...!Chemsha mayai kadhaa kisha fanya timming umtegeshee hapo anapoingilia kuja kula.
Ujinga wa kenge huwa yai analibugia na kulivunjia kooni. Yai lililochemshwa halivunjiki so akibugia lazma lita clog njia ya hewa atabaki anatapa tapa mpaka kufa kwake.
Ni heri ungeboresha banda lako pia maana kama kaweza kuingia kenge na nyoka watakuwa wanaingia.
Ngozi nyeusi bana, naona jamaa hapo kaweka picha kamuua kenge alafu anaona ni ufahari.
Kule Nchi za wenzetu a.k.a Mabeberu kuna idara za Wanyama na kama kuna kiumbe yupo Nyumbani kwako unawapigia wanakuja kumchukua.
Wenzetu hawazingatii sana kwenye kuwauwa viumbe, unless kama unafanya hivyo kuokoa maisha yako, tofauti kabisa na huku kwetu, kule Wananchi wenyewe wanajitahidi sana na kuhakikisha Kiumbe anachukuliwa akiwa hai.
Niliangaliaga hii clip, jamaa anavyohangaika kumtoa Nyoka nyumbani akiwa hai wala hakufikiria kumuua....nikajiuliza ni Mbongo gani atafanya hivi?
AU IPO HII YENYE DAKIKA 1 KWA MWENYE CHANGAMOTO YA BANDO, HIYO HAPO JUU INA DK 12.