imbegete
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 1,299
- 992
Nafuga kuku, sasa nimegundua kuna kenge anakula mayai ya kuku wangu. Naombeni maujanja ya kumkomesha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo ya ngoswe mwachie ngoswe mwenyewe...sasa kenge anakula mayai ya kuku halafu wewe unataka kumuangamiza kengeNafuga kuku, sasa nimegundua kuna kenge ana kula mayayi ya kuku wangu. Naombeni maujanja ya kumkomesha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Chemsha mayai kadhaa kisha fanya timming umtegeshee hapo anapoingilia kuja kula.
Ujinga wa kenge huwa yai analibugia na kulivunjia kooni. Yai lililochemshwa halivunjiki so akibugia lazma lita clog njia ya hewa atabaki anatapa tapa mpaka kufa kwake.
Yes, nimemuwekea na video chini hapo ilia aone kinachotokea bandani akiwa hayupo.
Chemsha mayai kadhaa kisha fanya timming umtegeshee hapo anapoingilia kuja kula.
Ujinga wa kenge huwa yai analibugia na kulivunjia kooni. Yai lililochemshwa halivunjiki so akibugia lazma lita clog njia ya hewa atabaki anatapa tapa mpaka kufa kwake.
Nafuga kuku, sasa nimegundua kuna kenge anakula mayayi ya kuku wangu. Naombeni maujanja ya kumkomesha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama nundu ya moo
Jr[emoji769]
Dawa ni kumvizia na kumtwanga na kitu chochote kizito, kwisha habari yake
kuna Kenge wakubwa kama mamba mdogo yai kwake ni kama goroli, cha muhimu atafute na sumu ambayo haina harufu kuweka kwenye hayo mayaiChemsha mayai kadhaa kisha fanya timming umtegeshee hapo anapoingilia kuja kula.
Ujinga wa kenge huwa yai analibugia na kulivunjia kooni. Yai lililochemshwa halivunjiki so akibugia lazma lita clog njia ya hewa atabaki anatapa tapa mpaka kufa kwake.
Broo mshana kuchapwa na mkia wa kenge ni story tu za kusadikika mimi imenitokea sana utotoni lakini mpaka sasa na utu uzima nilionao hakuna madhara yoyote nimepata kwa kuchapwa na mkia wa kengeAkikuwahi akakuchapa na mkia wake umekwisha
Jr[emoji769]
Nafuga kuku, sasa nimegundua kuna kenge anakula mayayi ya kuku wangu. Naombeni maujanja ya kumkomesha.
Sent using Jamii Forums mobile app