Naomba mbinu za kupata maduka mengi ya rejareja ya vipodozi kwa ajili ya kuwauzi vipodozi kwa bei za jumla

Biashara nzuri kwa kuwatafuna!
 
Mambo vip mkuu, Naona hii thread Kwa Sasa. Anyway Mimi Nina shida hii hii. Kwa Sasa nipo South Africa, huwa nakuja mara mbili au mara Moja kila Mwezi, na hapa nakuwa na truck nazisimamia kutoka Johannesburg hadi Dar Moja Kwa Moja. Tumekuwa tunauza Rolls on za Nivea nk Nk, nifikiri kufanya hii vipodozi Kwa kuanzia Mdogo mdogo, nahitaji msaada zaidi wa Masoko lakini pia aina Gani ni fast moving kutoka South Africa? Nitashukuru Mzee Kwa mchango hu. (Kwa truck hizi z 34 tone) Huwa nibidhaa nyingine tu, ila Mimi huwa Nina Uhuru wa kupakia chochote. ASANTE.
 
Mimi Nina mzigo upo njiani kutoka South Africa, Bb Relaxer kit. Any one interested WhatsApp 0758121728
 
Anza.Hii ni biashara nzuri
 
Fungulia ndugu zako kila kona maduka rejareja halafu wao wawe wanakuja kwako kununua duka lako la jumla

Mbinu hiyo hutumiwa na wakinga na wachaga
 
Please hit my dm
 
Biashara ya vipodozi Ina faida Sana na mzunguko pia upo.

Njia ya kupata royal clients before haujasambaza mzigo tembelea madukani uone aina gani ya bidhaa zinatoka .


Ukimaliza unazungumza nao kuhusu kuwaletea Mzigo na kuwasambazia Mzigo .

Price
Quality
Affordability

Mfano .....

Itaemdelea.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…