Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo vip mkuu, Naona hii thread Kwa Sasa. Anyway Mimi Nina shida hii hii. Kwa Sasa nipo South Africa, huwa nakuja mara mbili au mara Moja kila Mwezi, na hapa nakuwa na truck nazisimamia kutoka Johannesburg hadi Dar Moja Kwa Moja. Tumekuwa tunauza Rolls on za Nivea nk Nk, nifikiri kufanya hii vipodozi Kwa kuanzia Mdogo mdogo, nahitaji msaada zaidi wa Masoko lakini pia aina Gani ni fast moving kutoka South Africa? Nitashukuru Mzee Kwa mchango hu. (Kwa truck hizi z 34 tone) Huwa nibidhaa nyingine tu, ila Mimi huwa Nina Uhuru wa kupakia chochote. ASANTE.Ndiyo eneo nalozeekea hili
Ni biashara nzuri hii ukijua kanuni
1. Jiepushe na vipodozi kemikali hasa TBS walozuia
2. Jua aina za ngozi na changamoto zake ili uwashauri wateja kiuhalisia
3.mtaji kuanzia milioni 3 hadi 5 kukupa faida ya milioni kwa mwezi ni kawaida
Kwa ushauri bure piga 0713 039 875
Mimi Nina mzigo upo njiani kutoka South Africa, Bb Relaxer kit. Any one interested WhatsApp 0758121728Kwanza point of correction kusema unataka kusambaza vipodozi aina zote siyo kweli
Labda Kama ni dalali na siyo mmiliki wa duka la jumla au importer.
Nipo kwenye cosmetics ili uweze kusambaza vipodozi kwa bei nafuu inabidi uwe unaingiza mzigo mwenyewe, uweze kushindana na soko.
Lakini pia unatakiwa uwe specific kwenye aina ya vipodozi unavyotaka kusambaza.
So far vipodozi kutoka
Congo/zambia
South Africa
Nigeria
Uk
USA
Ndo vinavyouzika zaidi, je unaweza kuimport aina zote kutoka kwenye hizo nchi?
Kama unaweza Karibu sokoni.
Anza.Hii ni biashara nzuriWataalamu wa biashara ya vipodozi, ninaomba kusaidiwa mbinu mbalimbali za kupata maduka ya vipodozi vya aina zote yanayo-uza rejareja na mbinu za kuwafanya wawe wateja wangu kwa ajili ya kuwafanyia delivering ya vipodozi wanavyokuwa wanahitaji. Pia locations ambazo ninaweza kupata maduka mengi ya vipodozi ya rejareja
Natangiliza shukrani
Nilipo DSM
Fungulia ndugu zako kila kona maduka rejareja halafu wao wawe wanakuja kwako kununua duka lako la jumlaWataalamu wa biashara ya vipodozi, ninaomba kusaidiwa mbinu mbalimbali za kupata maduka ya vipodozi vya aina zote yanayo-uza rejareja na mbinu za kuwafanya wawe wateja wangu kwa ajili ya kuwafanyia delivering ya vipodozi wanavyokuwa wanahitaji. Pia locations ambazo ninaweza kupata maduka mengi ya vipodozi ya rejareja
Natangiliza shukrani
Nilipo DSM
Ni mbinu nzuri sana Tutapambana.Fungulia ndugu zako kila kona maduka rejareja halafu wao wawe wanakuja kwako kununua duka lako la jumla
Mbinu hiyo hutumiwa na wakinga na wachaga
Yuko vizuri sana, Mungu ambariki sanaHuwa una michango mizuri sana linapokuja swala la biashara ya vipodozi, Mungu akubariki.
Please hit my dmMambo vip mkuu, Naona hii thread Kwa Sasa. Anyway Mimi Nina shida hii hii. Kwa Sasa nipo South Africa, huwa nakuja mara mbili au mara Moja kila Mwezi, na hapa nakuwa na truck nazisimamia kutoka Johannesburg hadi Dar Moja Kwa Moja. Tumekuwa tunauza Rolls on za Nivea nk Nk, nifikiri kufanya hii vipodozi Kwa kuanzia Mdogo mdogo, nahitaji msaada zaidi wa Masoko lakini pia aina Gani ni fast moving kutoka South Africa? Nitashukuru Mzee Kwa mchango hu. (Kwa truck hizi z 34 tone) Huwa nibidhaa nyingine tu, ila Mimi huwa Nina Uhuru wa kupakia chochote. ASANTE.