Naomba mbinu za kupunguza uzito kwa haraka

Yeah nilikuwa naspend hours researching what, why & how to eat.

Wengi wetu kusoma wavivu so aanze tu hivyo mdogo mdogo
 
Autophagy benefits zinaanzia baada ya 24hrs of fasting.

So atleast afunge kuanzia 18hrs&above.
 
Nashukuru mkuu umeniongezea kitu, sitaki kutumia dawa, nahitaji nipungue kwa mazoezi tu, nitatumia warm water with lemon, kila asubuhi!
Labda nikuambie kitu kimoja kwamba Mazoezi hayajawai saidia mtu kupungua uzito moja kwa moja... Mazoezo yanafanya zoezi zima la kupungua mwili kuenda kwa haraka.... Uzito mkubwa au mwili kuongezeka kunasababishwa na Hormones na hormones pekee ndizo zitakazo kufanya upungue.

kwa kifupi kwa uzito huo ulionao unaugonjwa(metabolic disorder) uanoitwa Isulin Resistance... Lazima utibu ugojwa huu kwanza na kisha mengine yote yatafuta......

Ngoja niishie hapa kwanza
 
"Insulin resistance".

Big up bro,unajua unachokiongea kwa 100%.

Say hello to Dr. Jason Fung.
 
Yaan watu mna kilo 100 na kitu.


Mimi Nina kilo 56 na urefu ni 1.7 m 22 yrs
 
Tunautibu vp mkuu!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…