Naomba mbinu za kupunguza uzito kwa haraka

Naomba mbinu za kupunguza uzito kwa haraka

"Insulin resistance".

Big up bro,unajua unachokiongea kwa 100%.

Say hello to Dr. Jason Fu

"Insulin resistance".

Big up bro,unajua unachokiongea kwa 100%.

Say hello to Dr. Jason Fung.
Mkuu watu hawajui... Unakuta watu wanakimbia na kujichosha bure tuu...Mwisho wa siku tatizo lina baki pale pale au lina weza ongezeka zaidi.. Maana over exercise especially mazoezi ya cardion ndio yanaongeza stress hormone (cortisol) kwa wingi... Cortisol ikiwa kwa wingi inashirikian na ndugu yake Insulin inasababisha more insulin resistance matokeo yake more belly fat...
 
Habari zenu, mimi ni mrefu wa sentimeta 183, awali nilipima nikawa na kg 104. Uzito huo ulinitisha nikaamua kuanza mazoezi na kubadili life style. Nimeacha kutumia soda, maana hapo kabla kila siku nilikuwa Lazima ninywe soda/grandmalta, pia nimepunguza kiasi cha ulaji. Jioni huwa nakula matunda tu!

Kila wiki lazima nikimbie mara nne au mara tano ambapo kwa siku nakimbia kilomita 8 hadi kumi! Nimefanya hivyo kwa mwezi mmoja lakn nimepunguza kilo tatu na nusu tu!

Nifanyeje niweze kupungua kwa haraka zaidi?
Mimi nilianza kupunguza unene na uzito 2018......mabadiliko nimeyaona mwaka huu. Itakuchukua muda sana. Kikubwa ni kutokukata tamaa.

Kunene unatumia miezi ila kuuondoa unene na uzito ni kazi sana.
 
Mkuu watu hawajui... Unakuta watu wanakimbia na kujichosha bure tuu...Mwisho wa siku tatizo lina baki pale pale au lina weza ongezeka zaidi.. Maana over exercise especially mazoezi ya cardion ndio yanaongeza stress hormone (cortisol) kwa wingi... Cortisol ikiwa kwa wingi inashirikian na ndugu yake Insulin inasababisha more insulin resistance matokeo yake more belly fat...
Wataalam mnatuchanganya jamani!...
Mara tunashauriwa tufanye mazoezi ili kudhibiti uzito wa mwili mara tena mazoezi hayasaidii lolote!.
 
kilichokufanya unenepe ndicho unatakiwa kukifanyia kazi hadi upungue mkuu
 
Nenda kachukue "MKOPO BANK" halafu weka nyumba unayoishi kama dhamana, utakonda haraka sana kuliko hizo diet unazo fanya (Zinakuchelewesha).
 
Usifanye hivyo Mkuu utaulazimisha moyo kusukima damu kwa kiwango kisicho sahihi.

Fanya hivi Amka alfajiri saa 11.30kunywa maji glass 2 Kisha BAADA ya DK 10 Anza zoezi la Kutembea haraka haraka kwa muda wa dk 30.ukirudi home baada ya kukoga kunywa juisi ya giligilani ya majani glass 1.

Fanya hivyo kwa wiki 3 Kisha leta mrejesho . Vinginevyo tukupe dawa mbadala Ni mwezi 1 TU mafuta na minyama yooote kwisha ila ujiandae kupunguza NGUO zako

Dawa gani hiyo mkuu??
 
Endelea na hii discipline, mwili kupoteza uzito mkubwa ghafla si vizuri pia. Endelea kukimbia kusaidia ngozi kuadjust na uzito unaopungua. Ukipungua ghafla utaishi a kuwa na nyama uzembe tumboni na nyuma ya mikono.
Mleta mada chukua muongozo huo hapo...
 
Mkuu watu hawajui... Unakuta watu wanakimbia na kujichosha bure tuu...Mwisho wa siku tatizo lina baki pale pale au lina weza ongezeka zaidi.. Maana over exercise especially mazoezi ya cardion ndio yanaongeza stress hormone (cortisol) kwa wingi... Cortisol ikiwa kwa wingi inashirikian na ndugu yake Insulin inasababisha more insulin resistance matokeo yake more belly fat...

Aisee mkuu hapa kwenye insulin resistance na kuitibu kazia hapa hapa tupe madini zaidi na mimi nataka jifunza aisee ni wengi sana wana hii issue alaf hawajijui...alaf hii issue hainaga symptoms

Na ifahamike insulin resistance na kisukari ni vitu viwili tofauti ni kama (spanner na bolt)

Endelea Mkuu umeni impress mnoo.
 
Urefu wangu ni cm 193
Uzito ni kg 99
Kuna shida yoyote hapo?
 
Back
Top Bottom