Naomba mbinu za kupunguza uzito kwa haraka

Naomba mbinu za kupunguza uzito kwa haraka

Insulin resistance (metabolic syndrome) ukikaa nayo ni uhakika pasi na shaka wewe ni mgonjwa mtarajiwa wa kisukari

Sijafikia huko wala situmii any medications....after regular check ups doctor akaniambia...take and monitor ur weight seriously ukiendelea na style yako si muda mrefu utakua huko.

Katika soma soma kwenye mtandao nimechukua tahadhari huu mwezi wa 5 sasa....at the start nlishtuka mnoo maana hizi issue mwanzoni huoni / husikii dalili zozote na unajiskia mzima kabisa.

Watu wanadhani unene / kuwa mzito ndio utoto wa mjini / Don Mamba. Okay mnacho kitafuta mtakipata. Tehe Noma Mazee.
 
Back
Top Bottom