Naomba mbinu za kupunguza uzito kwa haraka

"Insulin resistance".

Big up bro,unajua unachokiongea kwa 100%.

Say hello to Dr. Jason Fu

"Insulin resistance".

Big up bro,unajua unachokiongea kwa 100%.

Say hello to Dr. Jason Fung.
Mkuu watu hawajui... Unakuta watu wanakimbia na kujichosha bure tuu...Mwisho wa siku tatizo lina baki pale pale au lina weza ongezeka zaidi.. Maana over exercise especially mazoezi ya cardion ndio yanaongeza stress hormone (cortisol) kwa wingi... Cortisol ikiwa kwa wingi inashirikian na ndugu yake Insulin inasababisha more insulin resistance matokeo yake more belly fat...
 
Mimi nilianza kupunguza unene na uzito 2018......mabadiliko nimeyaona mwaka huu. Itakuchukua muda sana. Kikubwa ni kutokukata tamaa.

Kunene unatumia miezi ila kuuondoa unene na uzito ni kazi sana.
 
Wataalam mnatuchanganya jamani!...
Mara tunashauriwa tufanye mazoezi ili kudhibiti uzito wa mwili mara tena mazoezi hayasaidii lolote!.
 
kilichokufanya unenepe ndicho unatakiwa kukifanyia kazi hadi upungue mkuu
 
Nenda kachukue "MKOPO BANK" halafu weka nyumba unayoishi kama dhamana, utakonda haraka sana kuliko hizo diet unazo fanya (Zinakuchelewesha).
 

Dawa gani hiyo mkuu??
 
Endelea na hii discipline, mwili kupoteza uzito mkubwa ghafla si vizuri pia. Endelea kukimbia kusaidia ngozi kuadjust na uzito unaopungua. Ukipungua ghafla utaishi a kuwa na nyama uzembe tumboni na nyuma ya mikono.
Mleta mada chukua muongozo huo hapo...
 

Aisee mkuu hapa kwenye insulin resistance na kuitibu kazia hapa hapa tupe madini zaidi na mimi nataka jifunza aisee ni wengi sana wana hii issue alaf hawajijui...alaf hii issue hainaga symptoms

Na ifahamike insulin resistance na kisukari ni vitu viwili tofauti ni kama (spanner na bolt)

Endelea Mkuu umeni impress mnoo.
 
Urefu wangu ni cm 193
Uzito ni kg 99
Kuna shida yoyote hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…