Gien Banks
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 336
- 887
Urefu wangu ni cm 193
Uzito ni kg 99
Kuna shida yoyote hapo?
Nipo normal BMI ni 25Ingia google type
Body Mass Index Calculator
Feed in details zako
Calculate utapata majibu alaf soma maelezo
Kwa kweli mrefu sio mchezoUrefu wangu ni cm 193
Uzito ni kg 99
Kuna shida yoyote hapo?
Insulin resistance (metabolic syndrome) ukikaa nayo ni uhakika pasi na shaka wewe ni mgonjwa mtarajiwa wa kisukariNa ifahamike insulin resistance na kisukari ni vitu viwili tofauti ni kama (spanner na bolt
Insulin resistance (metabolic syndrome) ukikaa nayo ni uhakika pasi na shaka wewe ni mgonjwa mtarajiwa wa kisukari