Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,203
- 37,906
Ingekuwa inamsaidia ktk shughuli zake (kwa maana inazalisha) asingeitia sokoni kwa shida ya 1m!inawezekana gari inamsaidia katika shughuli zake za kila siku, hivyo basi kumshauri kuuza gari itakuwa ni kumrudisha nyuma ndugu yetu!