Iringa Native
JF-Expert Member
- Nov 9, 2011
- 961
- 3,055
hapa kuna halufu za utapeli..... yan una assets za 30m afu uhangaike kias hiki kupata 1m?!!!!collateral securities unazo kwann usijalibu katika taasisi rasmi za mikopo....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AsanteSi umemskia mwenyewe!we fanya hivyo mkopo utapata siku moja tu ukishakidhi vigezo vya mkopo
Ova
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ukipata ntakuongezea laki mbiliHabarini wakuu,
Kama kichwa cha habari hapo juu. Naomba kwa wajumbe humu ndani wenye kuwa na Moyo, niazimeni kiasi cha shilingi milioni moja.
Lengo la kupata kiasi hicho cha pesa ni kuongezea kwenye mtaji wangu wa biashara.
Kwa kifupi nina biashara ya duka/kiosk ambapo ninaendesha. Nina wateja wengi lakini variety ya bidhaa zipo chache kutokana na mtaji nilio nao. Nimejitahidi kuukuza mtaji kutoka 250,000 hadi above 30mln kwa muda wa 15 yrs hii ni inclusive asset nilizonazo kama nyumba, gari nk
Sasa hapa nilipo biashara inaendelea lakini kuna vitu vinahitajika hapa dukani ila cash ya kuvinunua sina. Sijawahi kukopa ku run biashara. Ila sasa ivi nataka ku inject pesa kutoka nje. Kama kuna mtu yupo radhi, mwenye moyo naomba mniazime some cash. Hata kwa contribution. Naahidi kuzirejesha with time ila sio kwa riba. Kama mpo radhi ndugu zangu naomba tuwasiliane PM.
Natanguliza shukrani.
Kwa comment hii na mindset hii hata kama unayo hio hela bora uzichome motoKama ni mwanamke hewala ila kama ni kidume alafu unataka kukopeshwa miliyoo kirahisirahisi hivyo nakupa tahadhari tu kuwa hali ya nchi sio salama kwa wakati huu shauri yako.
Kumbe kajeuri ww!!... Huuzii njaaa na hapa unalia lia na unataka million moja tena hutaki riba...Bureeeee kabisa .....huyo mtu cjui awe baba yako mzazi....Yaan mtu akupe hela yake ikae tu tena bila kunufaika ye hana kazi nayo au!!??....Hata bakheresa naamin hana hela ya hivo!!...ebu kajaribu kwa mashehe au kanisani wanaweza wakawa na huo moyo safiii[emoji3] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji23]Mkuu nina gari aina ya kirikuu Mitsubishi iko vizuri sana nilikuwa nataka Mln 8 tu lakini sijapata mteja watu vyuma vimekaza. Mtu akija anasema ana Mln 6. na mimi siuzii njaa.
Kirikuu ml 8? Wakati zenj yard mi 4.5Mkuu nina gari aina ya kirikuu Mitsubishi iko vizuri sana nilikuwa nataka Mln 8 tu lakini sijapata mteja watu vyuma vimekaza. Mtu akija anasema ana Mln 6. na mimi siuzii njaa.
hhahaha jaman nimechekaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaHii unayotangaza humu ni shibe!
Nenda saccos ya jiraniHabarini wakuu,
Kama kichwa cha habari hapo juu. Naomba kwa wajumbe humu ndani wenye kuwa na Moyo, niazimeni kiasi cha shilingi milioni moja.
Lengo la kupata kiasi hicho cha pesa ni kuongezea kwenye mtaji wangu wa biashara.
Kwa kifupi nina biashara ya duka/kiosk ambapo ninaendesha. Nina wateja wengi lakini variety ya bidhaa zipo chache kutokana na mtaji nilio nao. Nimejitahidi kuukuza mtaji kutoka 250,000 hadi above 30mln kwa muda wa 15 yrs hii ni inclusive asset nilizonazo kama nyumba, gari nk
Sasa hapa nilipo biashara inaendelea lakini kuna vitu vinahitajika hapa dukani ila cash ya kuvinunua sina. Sijawahi kukopa ku run biashara. Ila sasa ivi nataka ku inject pesa kutoka nje. Kama kuna mtu yupo radhi, mwenye moyo naomba mniazime some cash. Hata kwa contribution. Naahidi kuzirejesha with time ila sio kwa riba. Kama mpo radhi ndugu zangu naomba tuwasiliane PM.
Natanguliza shukrani.
Tatizo hataki mkopo wa riba!Ungeweza kukopa bank kwa dhamana ya biashara yako
Tatizo hataki mkopo wa riba!
Kumbe huna njaa basi na mkopo hupatiMkuu nina gari aina ya kirikuu Mitsubishi iko vizuri sana nilikuwa nataka Mln 8 tu lakini sijapata mteja watu vyuma vimekaza. Mtu akija anasema ana Mln 6. na mimi siuzii njaa.