Naomba mkopo wa milioni 1,000,000/= Nitazirejesha

inawezekana gari inamsaidia katika shughuli zake za kila siku, hivyo basi kumshauri kuuza gari itakuwa ni kumrudisha nyuma ndugu yetu!
Ingekuwa inamsaidia ktk shughuli zake (kwa maana inazalisha) asingeitia sokoni kwa shida ya 1m!
 
Nilidhani sijamuelewa. Mjini hapa hapa a complete stranger anaweza kukufanyia hivyo?

Mkuu mtoa mada ukipata mkopo naomba unistue na mie nijaribu biko
Mkuu hujasoma vzr, yeye hataki kukopeshwa kwa riba, unataka umpe million moja arudishe milioni moja
 
Mi naweka moyo wangu kwako, sio kutesana kwa terms and condition na sihitaji mtu anayetaka kuja kufanya biashara ya kunikopesha.
Huo unaotaka si mkopo ni msaada. Na duniani kuupata ni vigumu. Weka gari dhamana chukua pesa. Kama uko tayari ni PM
 
Milioni moja uazimwe bila riba!!!!!!!!
Labda ndugu au rafiki yako wa karibu tu ataweza kukufanyia hilo.
Tena ni issue ya biashara na si katibabu halafu hutaki riba, unajua huyo unayemwazima kaipataje?
 
Kweli mamba na mjusi wanafanana japo kwa mbaaaaàliii
Mkuu kama huna Uzi w kuandika hmu Jf ww tulia tu na mama nyumban
Sio kisa fake ID tu unaandika chochote ujisikiacho grow up
 
TMT wana hela sana, mtafute CEO wao Ontario anakurushia fasta.
 
Uko wapi?kama uko dar sema Nku connect na mtu anayetoa mkopo kuanzia Mln 1,hadi Mln 10 ila dhamana muhimu kama ni gari,na kifaa Chochote chenye thamani ambacho utakiweka dhamana ili upewe mkopo

Ova
 
Uko wapi?kama uko dar sema Nku connect na mtu anayetoa mkopo kuanzia Mln 1,hadi Mln 10 ila dhamana muhimu kama ni gari,na kifaa Chochote chenye thamani ambacho utakiweka dhamana ili upewe mkopo

Ova
huyo hataki mkoppo wa riba anataka umuazime bila riba we BAVICHA vepee
 
Mkuu nina gari aina ya kirikuu Mitsubishi iko vizuri sana nilikuwa nataka Mln 8 tu lakini sijapata mteja watu vyuma vimekaza. Mtu akija anasema ana Mln 6. na mimi siuzii njaa.
Sasa kama hauna njaa, unataka milion 1 ya nini?? Pasipo shaka we tapeli
 
hebu angalia vizuri kichwa cha habari ni milioni 1 au milioni 1,000,000 sawa na 1000 000 000 000?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…