Kusema una changamoto ni jambo moja sisi wasomaji kuamini kama ni kweli una changamoto ni kashesheNa Changamoto Sana Ila All In All Only God
Bond unaweka nini yaani Mali isiyo hamishikaNaomba Mkopo wa TSh 20,000 – Nimekwama kwa Sasa
Habari wakuu wa JamiiForums.
Naomba kwa heshima kama kuna mdau mwenye uwezo wa kunikopesha TSh 20,000. Kwa sasa nimejikuta kwenye kipindi kigumu kifedha, na kiasi hicho kitanisaidia kuvuka changamoto ya dharura niliyonayo.
Ninaelewa si rahisi kumwamini mtu usiyemfahamu, ndiyo maana siombi kwa kulazimisha wala kwa kutunga hadithi za kuonea huruma. Naomba kwa uaminifu. Nikipata msaada, nitawasiliana vizuri na tutakubaliana namna na muda wa kurejesha fedha hizo.
Kama hutaweza kunikopesha, hakuna shida. Ushauri, kazi ya kufanya, au fursa yoyote ya kunisaidia kujikwamua pia nitapokea kwa shukrani.
Asanteni kwa kunisoma. Mungu awabariki na awazidishie pale mnapotoa kwa ajili ya wengine.
Asante sana kwa ushauri na pole yako. Ni kweli, kuamini mtu usiyemfahamu si jambo rahisi. Nimejaribu pia kwa watu wa karibu, lakini kwa sasa nao hawako kwenye uwezo wa kunisaidia. Ndio maana nikaona nijaribu bahati hapa kwa heshima. Nikipata msaada nitashukuru, nisipopata pia nitaendelea kutafuta njia nyingine. Asante kwa kunitakia mema.Kusema una changamoto ni jambo moja sisi wasomaji kuamini kama ni kweli una changamoto ni kasheshe
Vipi umejaribu kwa watu wako wa karibu? Pole sana😢
Asante kwa kuuliza. Kwa sasa sina bond wala mali isiyohamishika ya kuweka kama dhamana. Ndio maana nimeomba kwa uaminifu nikitumaini kama kuna atakayekuwa tayari kunikopesha kwa makubaliano. Nikielewa masharti yako na kama haitawezekana, nitayaheshimu. Asante.Bond unaweka nini yaani Mali isiyo hamishika
Saw mkuu kila la kheriAsante sana kwa ushauri na pole yako. Ni kweli, kuamini mtu usiyemfahamu si jambo rahisi. Nimejaribu pia kwa watu wa karibu, lakini kwa sasa nao hawako kwenye uwezo wa kunisaidia. Ndio maana nikaona nijaribu bahati hapa kwa heshima. Nikipata msaada nitashukuru, nisipopata pia nitaendelea kutafuta njia nyingine. Asante kwa kunitakia mema.
Umewaza mbali sana broHuyu sio Elevenn kweli?
Inasikitisha sana.Pole😢
Nauza sungura😎Ngoja wamakuja watakupatia mkuu
Sana 😢 dahInasikitisha sana.
Wa aina ganiNauza sungura😎