The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Sungura siwapendi ila siku ukiwa unauza Nyau au kwa jina lingine Pussy,tuwasiliane.Nauza sungura😎
Sungura siwapendi ila siku ukiwa unauza Nyau au kwa jina lingine Pussy,tuwasiliane.Nauza sungura😎
Ndiyo mleta madaYupi? Mleta mada?
Asante kwa ushauri mkuu. Naelewa unachomaanisha. Kuomba si jambo la kujivunia, lakini wakati mwingine hali humfanya mtu ajaribu kila njia iliyo ndani ya mipaka ya heshima. Nikipata nitashukuru, nisipopata nitaendelea kutafuta njia nyingine. Asante kwa kunitakia mema.duuu 20 elufu unakujakopa humu??? sio kweli. Huna hata kikoba, majirani je? hata kama huna kitu humu sio sehemu ya kuja kujidhalilisha. hawatakupa hata kidogo usiharibu siku yako kwa majibu yao. tafuta njia nyingine
Mawazo toa namba mdau anakutumiaMawazo255 nitumie namba yako nikutumie 20K kabla uzi haujafutwa
Mpe basi hata tenNgoja wamakuja watakupatia mkuu
Ndiyo mleta mada
Si hata wewe ulimaanisha yeye au
vipi kama hana watu wa karibu toeni acheni manenoKusema una changamoto ni jambo moja sisi wasomaji kuamini kama ni kweli una changamoto ni kasheshe
Vipi umejaribu kwa watu wako wa karibu? Pole sana😢
Acha basi 🤣🤣😂😂
Ni wale wale kina 11
Ao wadudu siwapendi nyau🙌Sungura siwapendi ila siku ukiwa unauza Nyau au kwa jina lingine Pussy,tuwasiliane.
Hatuna cha kutoa kama unacho wewe toa shida iko wapi aga boy?vipi kama hana watu wa karibu toeni acheni maneno
we mpe kama uko poaHuyu sio Elevenn kweli?