Toa pesa hiyo Mkuu 😀😀Tatizo huweki wazi tukusaidiaje sasa ?
juzi nlikuulza unashida gani zungumza tujue tukupe solution gani ? Ukapotea.
Zungumza kama ni kazi tujue tunakusaidiaje mzee mbona unakuwa mzito !!
kutoa pesa sio tatizo.Toa pesa hiyo Mkuu 😀😀
😀😀😀 duuh kasheshekutoa pesa sio tatizo.
Shida tutampa pesa mpaka lini ?
Kama ni kazi sisi tutampa shida hataki kazi.
Na mimi nipo inawezekana tunapishanaMimi nipo sana wewe ndio umeadimika boss
Huyo mtu yupo mkoa gani mkuu? Ili mambo yasiwe mengi tukapeana namba alafu kumbe mtu yupo tunduma huko alafu mwingine yupo Kagera.Weka namba PM nitamtuma mtu akupigie
nimecheka sana.Kuna mtu wa kuitwa nyete alienda hadi muhimbili kupiga wagonjwa picha kua anaumwa. Baada ya hapo kilifuata kilio kikubwa kwa wanajF🤣🤣
😂😂😂 ko hutakii au?Ohooooo hizo njia zenu ni ngumu sana zinahitaji uwe umekunywa damu ya binadamu aliyekufa mwaka mmoja mbele ayaweze🥹🥹eishhhh hasa masharti ya shoga yako bichwa komwe yule mpumbavu sana mpaka Leo PM naichukia kuiangalia
Wewe je hutaki kumsaidia mwenzio?Yaani nani apoteze muda wake kwa hiyo takataka!
Em muulize ataje location yake umpeleke.Angekuwa na location, ningempelekea mkono kwa mkono. Kutuma kwa Mpesa una reveal identity yako.
😂😂😂Hahaha! Kila siku anamba 20 atakuwa ana beti sio bure
Hakuna cha bureee, 😂😂😂Yasije tu yakawa kama yale masharti ya BICHWA KOMWE - aiseeee yule mpumbavu anaasharti kama ya mganga mwenye mawasiliano ya moja kwa moja na kuzimu🤮🤮
😂😂😂😂 wizzoo.Mbona huwa wanamchangia DUDU MAVI kwenye kampeni yake ya usenge isiyo na kichwa wala miguu basi wakuchangie na wewe.
Ohooooo kumbe Hadi pm anakuja
Chuma kimeingia mzigoni sasa😀😀kilikuwa kinapasha misuliMbona huwa wanamchangia DUDU MAVI kwenye kampeni yake ya usenge isiyo na kichwa wala miguu basi wakuchangie na wewe.
Jichanganye!Wanaume hapa huwezi kuwaona wakimsaidia mwanaume mwenzao, basi sio hela, hata njia ya kupata hiyo pesa hakuna.
Yeye ameona rahisi kupata ni JF. LOLJichanganye!
Unaweza kufanya hivo kwa nia njema mwisho wa siku mnakuja na ID zenu zingine kujisifia mnapiga hela kwa wajinga wa JF.
Hiyo hela kwa sababu anataka mkopo sidhani kama hana pa kuipata na sio kwamba hajui namna ya kuipata. Kuna marafiki zake, Kuna anaokutana nao kwenye mitikasi yake, Kuna ndugu zake, Kuna anaosali nao etc.
kumbe unajua? Lol! Sema nasikia kila akipewa hizo 20k za kila mara huwa anazitia kwenye mkeka na zinachanika. Anaamini kutoboa kupitia betting kuliko chochote 😅😅Sijasoma uzi
Kabadili kiwango??
Kama kaomba 20,000 kama kawaida yake mimi msaidizi wako nimekataa 😂