cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Wachaa wee!!Akaze auze simu apate mtaji wa birika la kahawa na visheti azungushe stendi. Asilikimbie jembe
Wachaa wee!!Akaze auze simu apate mtaji wa birika la kahawa na visheti azungushe stendi. Asilikimbie jembe
Msaidieni sasa huko taasisi za mikopo apate.Mkuu taasisi za mikopo zipo Kila Kona.
Dunia imegeuka hii. Wakukupa burebure tu Sidhani.
Nipe hiyo kazi Mkuu.Huyu jamaa hayupo serious na mimi namchukulia kama anafanya aina ya utapeli laini kwa kutaka kuonewa huruma.
Jamaa nilimuunganisha na mtu ampe nafasi ya kibarua akadanganya mambo meengi mwisho akawa hapokei sim.
Kijana huyu kwa kutumia namba tofauti za simu nikiagiza watu wamtafute kwaajili ya kumpa kibarua lakini amekua akisema yupo sehem ama maeneo tofauti tofauti kwa wakati mmoja.
Kijana huyu anasisitiza kusaidia pesa tu, lakini hataki kabisa kufanya kazi.
Kwakifupi nilimfuatilia sana na marakadhaa nilimsaidia kiasi pasipo kumwambia lakini bado ameendelea na tabia yake ya kupenda kuomba na anasingizia ili aonewe huruma.
Muha kasema nilipe kwanza ndio napewa mkweBill inasoma ngapi huko
Ndio nmeuliza billMuha kasema nilipe kwanza ndio napewa mkwe
Au mpe wewe hiyo twentyWachaa wee!!
Bill mfuko wanguNdio nmeuliza bill
Kaka nipe mimi kaziHuyu jamaa hayupo serious na mimi namchukulia kama anafanya aina ya utapeli laini kwa kutaka kuonewa huruma.
Jamaa nilimuunganisha na mtu ampe nafasi ya kibarua akadanganya mambo meengi mwisho akawa hapokei sim.
Kijana huyu kwa kutumia namba tofauti za simu nikiagiza watu wamtafute kwaajili ya kumpa kibarua lakini amekua akisema yupo sehem ama maeneo tofauti tofauti kwa wakati mmoja.
Kijana huyu anasisitiza kusaidia pesa tu, lakini hataki kabisa kufanya kazi.
Kwakifupi nilimfuatilia sana na marakadhaa nilimsaidia kiasi pasipo kumwambia lakini bado ameendelea na tabia yake ya kupenda kuomba na anasingizia ili aonewe huruma.
Bado mkuu, sijapata. Ila maisha yanaendelea, naamini kila jambo lina wakati wake. 🤝bado hujapata msaada tu mpaka leo..?
aise pole sana mkuu mungu akufanyie wepesi (ila jitaidi kupunguza marafiki/makundi ikibidi vita yako iwe yakimya kimya)Bado mkuu, sijapata. Ila maisha yanaendelea, naamini kila jambo lina wakati wake. 🤝
Kukataa fursa moja hakumaanishi mtu hataki kufanya kazi. Kila mtu ana mazingira na malengo yake, na kujiajiri pia ni njia ya maisha. Kuhusu afya, si kila jambo la mtu linahitaji kuwekwa hadharani. 🙏Mbona Kuna mtu anasema amekutafutia kazi umekataa?
Jf ni pana.huwezi kukosa kazi uliomba,hata kibarua unapata
Kuna watu humu.
Au kama una shida za kiafya funguka pia
Kama lengonni kujiajiri kwanini usianze kuajiriwa update mtaji kama ni mkubwa?Kukataa fursa moja hakumaanishi mtu hataki kufanya kazi. Kila mtu ana mazingira na malengo yake, na kujiajiri pia ni njia ya maisha. Kuhusu afya, si kila jambo la mtu linahitaji kuwekwa hadharani. 🙏
Sister Abigail
Ahsante sana mkuu 🙏 Nimekupokea, kweli kuna vita ambazo ni bora kupigana kimya kimya bila kelele nyingi. Mungu atujalie wepesi na atupe nguvu ya kusimama tena. 🤝aise pole sana mkuu mungu akufanyie wepesi (ila jitaidi kupunguza marafiki/makundi ikibidi vita yako iwe yakimya kimya)
Mkuu, hoja yako nimeielewa. Sijakataa kazi, ila naamini pia kujiajiri ni njia ninayotaka kuijenga kulingana na mazingira yangu. Kuhusu changamoto, si kila jambo mtu yuko tayari kuliweka hadharani; wakati mwingine unahitaji faragha huku ukitafuta namna ya kusimama mwenyewe. Kila mtu ana uhalisia wake. 🤝Kama lengonni kujiajiri kwanini usianze kuajiriwa update mtaji kama ni mkubwa?
Kama changamoto hazianikwi mtu atakuelewaje shida yako?
Si atakuwazia kinyume wakati sio uhalisia?
Kama hueleweki hakuna atakuelewa.Mkuu, hoja yako nimeielewa. Sijakataa kazi, ila naamini pia kujiajiri ni njia ninayotaka kuijenga kulingana na mazingira yangu. Kuhusu changamoto, si kila jambo mtu yuko tayari kuliweka hadharani; wakati mwingine unahitaji faragha huku ukitafuta namna ya kusimama mwenyewe. Kila mtu ana uhalisia wake. 🤝