Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Broh kitalembwa fanya kuniazima afu tano nikale 😆From no where, hatujuani.... tunatumia majina fake (anonymity) , nikupe mkopo tukubaliane urejeshe ? Hivi tunajizima akili kiasi hicho ? aisee
Subiri utumiwe, na atakayekutumia just amekupa tu hapa hakuna makubaliano yoyote yale ya kurejesha
Mbona kuna watu wanasema wakitaka kukupa kazi hutaki? Una utetezi gani kuhusu hilo?Ndugu zangu, naomba radhi kama nimewakera kwa maombi yangu ya mara kwa mara. Ukweli ni kwamba napitia kipindi kigumu na nimeamua kuomba msaada kwa unyenyekevu. Sikuwa na nia ya kumkwaza au kumkera mtu yeyote. Kwa mwenye uwezo wa kunisaidia hata hiyo 20,000, nitashukuru sana na nitajitahidi kurejesha fadhila nitakapoweza. Naomba mnivumilie, na kama kuna nilipokosea, nisameheni. Mungu awabariki wote. 🙏
Dogo niajekumbe unajua? Lol! Sema nasikia kila akipewa hizo 20k za kila mara huwa anazitia kwenye mkeka na zinachanika. Anaamini kutoboa kupitia betting kuliko chochote 😅😅
Safi vipiDogo niaje
Fresh pamoja sanaSafi vipi
Kuna mkeka wa jero nimemuwekea odds 40 ukitick atalamba lolosheremaya si umsaidie huyu SCAMMER 20K ama umebakiza hela ya kusukia mkeka tu kama mimi!?
View attachment 3681817
Huruma sio malezi msaada sio haki ya yeyote yule. Kukosa kusaidika sio tiketi ya kutoa ulinzi wa mgongo. Nisiandike sana he bera watch his backWanaume hapa huwezi kuwaona wakimsaidia mwanaume mwenzao, basi sio hela, hata njia ya kupata hiyo pesa hakuna.
Ila huyu akianza kutolinda mgongo wake ili apate hiyo pesa, wataanza kumuandama na kupiga makelele.
Wanaume acheni unafiki, msaidieni mwenzenu huyu.
Mamkwe kunywa keupe nalipiaMtu kuwa na shida sio sababu ya kushindwa kulinda mgongo bwana wee
Dah ila kamari noma sanakumbe unajua? Lol! Sema nasikia kila akipewa hizo 20k za kila mara huwa anazitia kwenye mkeka na zinachanika. Anaamini kutoboa kupitia betting kuliko chochote 😅😅
Kumbe ni sister du?Leo hii imethibitisha wewe ni sister duu kabisa.
aksante eh asante sana
Kumbe mlienda mpka PM, umatonya ni kazi sana
Wanasema nilipe kwanza mkweMamkwe kunywa keupe nalipia
watoe na risitiWanasema nilipe kwanza mkwe
Risiti inatokawatoe na risiti
Sasa km hata njia ya kupatia pesa hamjapa, huo mgongo atalinda vipi??Huruma sio malezi msaada sio haki ya yeyote yule. Kukosa kusaidika sio tiketi ya kutoa ulinzi wa mgongo. Nisiandike sana he bera watch his back
Na kibarua sasa sitaki cha mtu
Akaze auze simu apate mtaji wa birika la kahawa na visheti azungushe stendi. Asilikimbie jembeSasa km hata njia ya kupatia pesa hamjapa, huo mgongo atalinda vipi??
Bill inasoma ngapi hukoRisiti inatoka
Mkuu taasisi za mikopo zipo Kila Kona.Wanaume hapa huwezi kuwaona wakimsaidia mwanaume mwenzao, basi sio hela, hata njia ya kupata hiyo pesa hakuna.
Ila huyu akianza kutolinda mgongo wake ili apate hiyo pesa, wataanza kumuandama na kupiga makelele.
Wanaume acheni unafiki, msaidieni mwenzenu huyu.