Sio Mimi Io Id TafadhaliAlhamdulillah! Asante sana kwa wote walionisaidia, walionitia moyo na kuniombea. Nimefanikiwa kupata nilichokuwa nahitaji. Mungu awabariki kwa wema wenu na awazidishie pale mlipopunguza. Shukrani zangu za dhati.Mawazo255 nitumie namba yako nikutumie 20K kabla uzi haujafutwa
Njoo PM nikupe mchongo wa kupiga hela haraka haraka
Acha Kusingizia Ndg Angu π π€ Yote kheri lknHuyu jamaa hayupo serious na mimi namchukulia kama anafanya aina ya utapeli laini kwa kutaka kuonewa huruma.
Jamaa nilimuunganisha na mtu ampe nafasi ya kibarua akadanganya mambo meengi mwisho akawa hapokei sim.
Kijana huyu kwa kutumia namba tofauti za simu nikiagiza watu wamtafute kwaajili ya kumpa kibarua lakini amekua akisema yupo sehem ama maeneo tofauti tofauti kwa wakati mmoja.
Kijana huyu anasisitiza kusaidia pesa tu, lakini hataki kabisa kufanya kazi.
Kwakifupi nilimfuatilia sana na marakadhaa nilimsaidia kiasi pasipo kumwambia lakini bado ameendelea na tabia yake ya kupenda kuomba na anasingizia ili aonewe huruma.
Bado na samahani Sana NisaidieUmepata au bado π€
Sitaki nikusingizie wengine hatupo humu kwaajili ya kusingizia watu.Acha Kusingizia Ndg Angu π π€ Yote kheri lkn
Hakuna mtu anazaliwa punga wewe acha kujidanganya.Wengine tumepigika tu kama yeye ndio maana tupo kimya. Tutamuombea.
Halafu LGBTQIA+ are born, not made. Watu wanatafuta visingizio tu.
Asante Na nimekuelewa ila Siko hivyo Changamoto ninazopitia nyumban muumba pekee nisamehe Kaka Kama nimekukoseaSitaki nikusingizie wengine hatupp humu kwaajili ya kusingizia watu.
Kwataarifa yako nikianza kukufuatilia (ili nikusaidie) baada ya kua naona nyuzi zako na mwisho niligundua wewe ni wale vijana wasio jitambua kabisa aiseee
Asante Na nimekuelewa ila Siko hivyo Changamoto ninazopitia nyumban muumba pekee nisamehe Kaka Kama nimekukoseSitaki nikusingizie wengine hatupp humu kwaajili ya kusingizia watu.
Kwataarifa yako nikianza kukufuatilia (ili nikusaidie) baada ya kua naona nyuzi zako na mwisho niligundua wewe ni wale vijana wasio jitambua kabisa aiseee
AsanteHupati hata mia mbovu dogo. Hatukupi.
Kama uko serious na shida we uza simu tu au iweke bond.
"Wenye shida hawana simu"- chid benz
A yu me o keΒΏNAOMBA MKOPO WA TSH 20,000 π
Habari zenu wanajamii. Naomba msaada wa mkopo wa TSh 20,000 kwa yeyote ambaye atakuwa na uwezo wa kunikopesha. Nina uhitaji wa haraka na nitajitahidi kurejesha ndani ya muda tutakaokubaliana.
Sio ombi la kuomba msaada wa bure, bali ni mkopo. Nitashukuru sana kwa yeyote atakayeguswa na kunisaidia katika kipindi hiki. Mwenyezi Mungu ambariki kila atakayejitokeza. π
Am yu o ke πA yu me o keΒΏ
Haujanikosea kijana, bali ninacho kisema nikwamba.... wewe ni kijana unaependa kuomba pesa wakati kazi hautaki kufanya.Asante Na nimekuelewa ila Siko hivyo Changamoto ninazopitia nyumban muumba pekee nisamehe Kaka Kama nimekukosea
Kaka tusilumbane ππ€πHaujanikosea kijana, bali ninacho kisema nikwamba.... wewe ni kijana unaependa kuomba pesa wakati kazi hautaki kufanya.
Acha hiyo tabia mtoto wa kiume tena ukiniudhi nitakutia khelbu mujarab sasahivi....π€¨
Changamoto unazijua wewe kila saa uko live hii bando unatoa wapi wewe unabet mkuu ,ukila mkeka unapotea unatoa nyuzi za kutokukata tamaa ukiliwa unakuja na uzi wa elfu 20.Asante Na nimekuelewa ila Siko hivyo Changamoto ninazopitia nyumban muumba pekee nisamehe Kaka Kama nimekukose
Asante
Silumbani nawewe kijana, nimeona nikuchane tu maana unatia kinyaa na tabia za kujiendekeza.Kaka tusilumbane ππ€π
Kwa kifupi ni conman.Huyu jamaa hayupo serious na mimi namchukulia kama anafanya aina ya utapeli laini kwa kutaka kuonewa huruma.
Jamaa nilimuunganisha na mtu ampe nafasi ya kibarua akadanganya mambo meengi mwisho akawa hapokei sim.
Kijana huyu kwa kutumia namba tofauti za simu nikiagiza watu wamtafute kwaajili ya kumpa kibarua lakini amekua akisema yupo sehem ama maeneo tofauti tofauti kwa wakati mmoja.
Kijana huyu anasisitiza kusaidia pesa tu, lakini hataki kabisa kufanya kazi.
Kwakifupi nilimfuatilia sana na marakadhaa nilimsaidia kiasi pasipo kumwambia lakini bado ameendelea na tabia yake ya kupenda kuomba na anasingizia ili aonewe huruma.
Utarejeshaje sasa bro? Kama kila mtu siku unakuja kuomba maana yake hauna chanzo cha kipato.....mkopo utarudisha vipi? Au mkeka ukitiki?Don't say that bruh Sielewii hata an Nimeomba Tafadhali nitarejesha
Au na huyu umlipie chakula bill ya mwezi πChangamoto unazijua wewe kila saa uko live hii bando unatoa wapi wewe unabet mkuu ,ukila mkeka unapotea unatoa nyuzi za kutokukata tamaa ukiliwa unakuja na uzi wa elfu 20.
Kama ukipata sema nikupe odds