Naomba mnichangie nipate mtaji

Naomba mnichangie nipate mtaji

si umemaliza form six juzi ? subiri matokeo upelekwe chuo dogo wasikilize ndugu zako wangekuwa wanakuchukulia negative wangekusomesha?

Sawa miss now siexpect kitu hapa nimekuelewa Ahsante.
 
sina llengo baya la kuharibu naomba unisamehe .
nauliza tu kwanini wanaume wengi huku jf mnapenda sana kuomba hela humu? huna ndugu? ama rafiki? ama kanisa? ama msikiti?
japo nimefulia sana mimi ni muoga sana kumuomba mtu ambae sio rafili yangu hela.huku jf mtu ukizoeana nae siku mbili anakuomba umkope .nyie wakaka mmekuwaje jamani.hamna vifua vya kusolve shida zenu? mtakuja kushare mihogo na sisi.
nakuombea ufanikiwe mkuu ila hii njia unayotumia kwa sasa sio watu huku hawaaminiki tena

Mtu mwenyewe ni Miss Searching alafu mtu aje asearch tena kwako[emoji3][emoji3]

Bro kutosikia sio kiviile, as long as ypu can locomote, komaa hata kubeba zege (10,000pd) unajichanga unafanikiwa.
 
wapo watakaokupa usikate tamaa .mimi sina nakushauri tu usome .soon utaenda chuo najua umechoka kijiji vumilia

Miss kiukweli ungejua hali halisi ilivyo ungenihurumia but hapa ni jf sjui unaipimaje.

Anyway Ahsante kwa advice zako mrua nimeenjoy mpaka bas
 
Miss kiukweli ungejua hali halisi ilivyo ungenihurumia but hapa ni jf sjui unaipimaje.

Anyway Ahsante kwa advice zako mrua nimeenjoy mpaka bas
naelewa .muombe mungu akusaidie upate chuo.kwa sasa piga hata vibarua vya kulima huko kijijini
 
Mtu mwenyewe ni Miss Searching alafu mtu aje asearch tena kwako[emoji3][emoji3]

Bro kutosikia sio kiviile, as long as ypu can locomote, komaa hata kubeba zege (10,000pd) unajichanga unafanikiwa.

Sawa mkuu ntazingatia ushauri wako.
 
Nadhani negative umeiweka wewe kwenye mind yako, tafuta vibarua (fyatua tofali, beba zege, fuga kuku) upate mtaji. Usipende kuomba.
 
Nadhani negative umeiweka wewe kwenye mind yako, tafuta vibarua (fyatua tofali, beba zege, fuga kuku) upate mtaji. Usipende kuomba.

Ahsante kwa ushauri ila hivyo vibarua ulivyosema havilipi sana huku isipokuwa kufuga kuku but kufuga kuku need Capital.
 
Back
Top Bottom