Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wapo watakaokupa usikate tamaa .mimi sina nakushauri tu usome .soon utaenda chuo najua umechoka kijiji vumiliaSawa miss now siexpect kitu hapa nimekuelewa Ahsante.
Sijakuquote wewe mkuu!![emoji32][emoji32][emoji32]...Angalia nimemkoquote nani!!Mkuu me mwanaume matusi ya nn?
sina llengo baya la kuharibu naomba unisamehe .
nauliza tu kwanini wanaume wengi huku jf mnapenda sana kuomba hela humu? huna ndugu? ama rafiki? ama kanisa? ama msikiti?
japo nimefulia sana mimi ni muoga sana kumuomba mtu ambae sio rafili yangu hela.huku jf mtu ukizoeana nae siku mbili anakuomba umkope .nyie wakaka mmekuwaje jamani.hamna vifua vya kusolve shida zenu? mtakuja kushare mihogo na sisi.
nakuombea ufanikiwe mkuu ila hii njia unayotumia kwa sasa sio watu huku hawaaminiki tena
Mimi sina shida ya hela, shida yangu niassist papuchi please!
wapo watakaokupa usikate tamaa .mimi sina nakushauri tu usome .soon utaenda chuo najua umechoka kijiji vumilia
Anakupoteza mkuu, humu watu wamesaidiwa sana, ingawa kuna wengine matapeli.Mkuu uko sahihi
ahahaaaSijakuquote wewe mkuu!![emoji32][emoji32][emoji32]....... Angalia nimemkoquote nani!!
naelewa .muombe mungu akusaidie upate chuo.kwa sasa piga hata vibarua vya kulima huko kijijiniMiss kiukweli ungejua hali halisi ilivyo ungenihurumia but hapa ni jf sjui unaipimaje.
Anyway Ahsante kwa advice zako mrua nimeenjoy mpaka bas
Mtu mwenyewe ni Miss Searching alafu mtu aje asearch tena kwako[emoji3][emoji3]
Bro kutosikia sio kiviile, as long as ypu can locomote, komaa hata kubeba zege (10,000pd) unajichanga unafanikiwa.
Papuch ya bure ni moja tu, ile ulizaliwa kwayo zingine zote UNALIPIA [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nadhani negative umeiweka wewe kwenye mind yako, tafuta vibarua (fyatua tofali, beba zege, fuga kuku) upate mtaji. Usipende kuomba.