buffalo44
JF-Expert Member
- May 8, 2016
- 4,678
- 11,357
Wakuu salaam Nyingi ziwafikie.
Natumai mu wazima wa afya.
Kuna fursa nimeiona huku maeneo yetu ambayo naamini itanisaidia kupata hela ya matumizi madogo madogo ila nakwamishwa na suala la Capital ambapo watu wote huku kuwa na fikra mgando zilizojengwa juu ya walemavu kuwa hakuna mlemavu anayeweza kufany vizuri kwenye eneo ambalo ulemavu wake unaexist hivyo kupelekea Mimi ambaye Nina ulemavu wa kutosikia(deaf) kukosa support itakayo nisaidia kuikamata fursa hii maana hata wazazi wangu nao wanaamin hivyo licha ya Mimi kuwasisitiza kuwa naweza bado ni tatizo tu.
Sasa naona nawachosha kwa background zisizo na msingi ngoja niende straight kwenye maada.
Wakuu naomba Mnisaidie financial assistant kiasi chochote kile ili nipate kufikisha laki 3 ili niingie kwenye hii fursa ambayo inahitaji kianzio kidogo tu ili nipate kuwa financial independent kutoka katika kuwatengemea hawa watu ambao hawaoni matumain yoyote mbelen kutoka kwangu sababu ya imani yao ya kuamini kuwa Mimi siwezi kufanya big things eti kisa Niko impaired in hearing ambayo kiukweli inaniuma sana hasa ninapoona hadi ndugu zangu hawaniamini.
Ila kwenu wanajf mnajua kuwa nothing impossible if you say "iam possible" naomba mnichangie kadri Bwana alivyowajalia nipate huo mtaji ili mnisaidie katika safari yangu ya kujitegemea ambayo inakwamishwa sana na kukosa Capital.
Naomba nisiwachoshe na Uzi mrefu ukiwa na swali waweza kuniuliza ili nikudetail.
"Kutoa ni moyo si utajiri"
nawasilisha.
Buffalo44