Unawaweka kwenye ignore listWakuu Habari za Uzima, Binafsi Napenda Kusoma Threads Nyingiii humu JF Na Ku-Like, Kuna Watu wanavyo'Coment Huwa Nakaa Najifikiria weeh Like ni kama Mashetani.,
Mimi kama Binaadamu Ninayependa UTU Nisingependa Kuendelea Kuziona Posts Na Comments Zao, Hivyo Naomba Mnielekeze Ku-hide Nisizione Tena Post Zao.
Watu Kama Ttlaatlaa 🐒 N.k Posts Zao Zinanitiaga Hasira Sana *****....
Hana ubaguzi kama Kristo.. Wabaya na wema wote ni wake💖Mimi huwa nashangaa Maxence Melo anaruhusu vipi watu wa design hio kuendelea kuwepo humu jukwaani.
ignore list ya jf ina poor design. ( ufupi unapo mu ignore mtu haitakiwi uone chochote kuhusu huyo mtu wala yeye asione chochote kuhusu wewe )Unawaweka kwenye ignore list
DahHana ubaguzi kama Kristo.. Wabaya na wema wote ni wake💖
Yeah hili jukwaa tunalitumia lakini bado lina madhaifu madogo madogo mengi sana. Una ignore mtu ila bado unaletewa show ignored content like what the fuckkkkkk. Kule pm ndo matatizo tupu.!!ignore list ya jf ina poor design. ( ufupi unapo mu ignore mtu haitakiwi uone chochote kuhusu huyo mtu wala yeye asione chochote kuhusu wewe )
Hiyo ni poor design, kwenye hicho kipengele tena very poor. Unakuta hara ulie mu ignore bado ana like post zako na unaona contents zake ina zinakuwa kama censored kitu ambacho ni cha hovyo aitakiwiYeah hili jukwaa tunalitumia lakini bado lina madhaifu madogo madogo mengi sana. Una ignore mtu ila bado unaletea show ignored content like what the fuckkkkkk. Kule pm ndo matatizo tupu.!!
kwa mantiki hio unataka kusema wakina hao chawa wako sahihi?Unaweza kukuta na wewe hua unapiga kelele kutaka demokrasia na uhuru wa kutoa maoni,
Watu kama wewe siku mkija kupata uongozi ni hatari sana,utawafunga midomo wale wote watakao ongea vitu ambavyo wewe havikupendezi au havikufurahishi.
Mkuu kuna watu humu wanaandika upupu mpaka unatamani angekua karibu au laiti ungekua unajua alipo umfuate ukamfanye pyu pyu pyu mambo yasiwe mengiUnaweza kukuta na wewe hua unapiga kelele kutaka demokrasia na uhuru wa kutoa maoni,
Watu kama wewe siku mkija kupata uongozi ni hatari sana,utawafunga midomo wale wote watakao ongea vitu ambavyo wewe havikupendezi au havikufurahishi.
Ukishindwa kuvumilia misimamo ya mtu hama jukwaaHiyo ni poor design, kwenye hicho kipengele tena very poor. Unakuta hara ulie mu ignore bado ana like post zako na unaona contents zake ina zinakuwa kama censored kitu ambacho ni cha hovyo aitakiwi
Wengine wana tukana tukana tuUkishindwa kuvumilia misimamo ya mtu hama jukwaa
Huu ni msafara wa Mamba...kuwakosa hao kenge safari haitanoga.Mimi huwa nashangaa Maxence Melo anaruhusu vipi watu wa design hio kuendelea kuwepo humu jukwaani.
Mkuu, maana ya demokrasia ni pamoja na kukubali uwepo wa maoni usiyoyapenda. Kwenye majukwaa ya kijamii kama JF, hauhitaji kutumia nguvu nyingi kupambana na mitazamo tofauti. Suluhisho la kistaarabu na la kiwango cha juu ni kutumia kipengele cha Ignore List. Waweke humo wale wote ambao maandiko yao hayaendani na viwango vyako, kisha maisha na mijadala mingine iendelee kwa amani.Mkuu kuna watu humu wanaandika upupu mpaka unatamani angekua karibu au laiti ungekua unajua alipo umfuate ukamfanye pyu pyu pyu mambo yasiwe mengi
ok.🐒Wakuu Habari za Uzima, Binafsi Napenda Kusoma Threads Nyingiii humu JF Na Ku-Like, Kuna Watu wanavyo'Coment Huwa Nakaa Najifikiria weeh Like ni kama Mashetani.,
Mimi kama Binaadamu Ninayependa UTU Nisingependa Kuendelea Kuziona Posts Na Comments Zao, Hivyo Naomba Mnielekeze Ku-hide Nisizione Tena Post Zao.
Watu Kama Ttlaatlaa 🐒 N.k Posts Zao Zinanitiaga Hasira Sana *****....
Hili ni jukwaa huru mkuu yoyote anaruhusiwa kuwepo na kuchangia mada husika ilimradi asivunje kanuni zilizowekwa. Kama hupendi mada zake basi unaignore tuMimi huwa nashangaa Maxence Melo anaruhusu vipi watu wa design hio kuendelea kuwepo humu jukwaani.
kwamba azingatie chuki na mihemko yako na sio misingi, kanuni na taratibu za kuanzishwa kwa JF, right?Mimi huwa nashangaa Maxence Melo anaruhusu vipi watu wa design hio kuendelea kuwepo humu jukwaani.
Natambua hiloHili ni jukwaa huru mkuu yoyote anaruhusiwa kuwepo na kuchangia mada husika ilimradi asivunje kanuni zilizowekwa. Kama hupendi mada zake basi unaignore tu