Naomba mnieleweshe matuta yanasababishaje mafuta kuisha haraka kwenye ndinga?

Naomba mnieleweshe matuta yanasababishaje mafuta kuisha haraka kwenye ndinga?

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Wakuu,

Naomba msaada kwa yeyote anayeelewa namna engine inafanya kazi kwa uhusiano wa tuta na mafuta kuisha.

Nilipitia kwenye post ya Eliudi alitoa listi ya matuta Goba then jamaa mmoja akasema ishu ya mafuta kuisha,
Nataka kuelewa ili nitathmini kwa mazingira ya barabara ya huku mtaani kwetu nikivuta Toyota Hilux au hata raumu itakuaje 😂 japo bado ni ndoto


1774854660411.png


1774854839459.png
 
Una-approach tuta ukiwa speed 5, lazima ushike brake na speed itashuka, gear zitapungua toka 5 hadi 3 au 2. Ukiruka tuta lazima ukanyage acceleration ili kuongeza mwendo na gear zinaongezeka toka 2 hadi maximum kutegemea na mwendo wako.

Sasa hiyo repeated process kila baada ya 500m unadhani itakuwa sawa na yule anayetembea na "constant velocity" in terms of ulaji wa mafuta
 
Japo sijaona neno matuta kwenye hio post nahisi gear changing ndio key point hapo
 
Una-approach tuta ukiwa speed 5, lazima ushike brake na speed itashuka, gear zitapungua toka 5 hadi 3 au 2. Ukiruka tuta lazima ukanyage acceleration ili kuongeza mwendo na gear zinaongezeka toka 2 hadi maximum kutegemea na mwendo wako.

Sasa hiyo repeated process kila baada ya 500m unadhani itakuwa sawa na yule anayetembea na "constant velocity" in terms of ulaji wa mafuta
Umemaliza
 
Back
Top Bottom