Naomba mnielimishe kuhusu hiki kitu

lyajody

Senior Member
Joined
Aug 16, 2024
Posts
158
Reaction score
224
Wakuu hbr za majukumu ningependa kuelimishwa kuhusu maswala ya green card kwa watu wanaopenda kwenda kuishi nje na kufanya kazi huko na je ilifungiwa na rais trump?
 
Wakuu hbr za majukumu ningependa kuelimishwa kuhusu maswala ya green card kwa watu wanaopenda kwenda kuishi nje na kufanya kazi huko na je ilifungiwa na rais trump?
Hapana. Green Card Lottery haijafungiwa na Trump.

Lottery iliyopita (2026) imeshamalizika na kufungwa, itatoa majibu nani kashinda kuanzia May 2025.

Lottery inayofuata (ya 2027) itaanza kupokea maombi mwezi October 2025, majibu yataanza kutoka May 2026.

Kwa taarifa zaidi soma habari kutoka serikali ya Marekani hapo chini.


Karibuni Marekani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…