Michael mbano JF-Expert Member Joined Apr 4, 2022 Posts 820 Reaction score 570 Jul 28, 2022 #1 Habari.Naomba kufahamu ni vigezo gani hutumika kumpata kiongozi wa mbio za mwenge?
Mwanakwetuuu JF-Expert Member Joined Apr 8, 2022 Posts 1,011 Reaction score 2,283 Jul 28, 2022 #2 Kwa sababu majeshi yameingia kwenye siasa kigezo kikubwa NI UNAFIKI
The unpaid Seller JF-Expert Member Joined Oct 27, 2019 Posts 2,113 Reaction score 6,251 Jul 28, 2022 #3 Vigezo ni vingi : 1. Uzalendo 2. Uadilifu 3. Nidhamu 4. Afya 5. Ufahamu wa historia na geographia ya nchi yetu Ila hata uwe na hivyo vigezo hauwezi kuchagulia kama ukikosa kigezo cha "uchawa"
Vigezo ni vingi : 1. Uzalendo 2. Uadilifu 3. Nidhamu 4. Afya 5. Ufahamu wa historia na geographia ya nchi yetu Ila hata uwe na hivyo vigezo hauwezi kuchagulia kama ukikosa kigezo cha "uchawa"
GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 60,660 Reaction score 121,325 Jul 28, 2022 #4 Michael mbano said: Habari.Naomba kufahamu ni vigezo gani hutumika kumpata kiongozi wa mbio za mwenge? Click to expand... 1. Mnafiki 2. Mchawi 3. Muongo 4. Mvurugaji 5. Mbea 6. Mvivu Kifikra 7. Katili
Michael mbano said: Habari.Naomba kufahamu ni vigezo gani hutumika kumpata kiongozi wa mbio za mwenge? Click to expand... 1. Mnafiki 2. Mchawi 3. Muongo 4. Mvurugaji 5. Mbea 6. Mvivu Kifikra 7. Katili
The unpaid Seller JF-Expert Member Joined Oct 27, 2019 Posts 2,113 Reaction score 6,251 Jul 28, 2022 #5 GENTAMYCINE said: 1. Mnafiki 2. Mchawi 3. Muongo 4. Mvurugaji 5. Mbea 6. Mvivu Kifikra 7. Katili Click to expand... Oya we Mnyaranda hii post inakuhusu vipi mkuu ?! Ningeshauri ukaendeleze kumfisia Paulina Kagagula maana uchawa ndio fani yako.
GENTAMYCINE said: 1. Mnafiki 2. Mchawi 3. Muongo 4. Mvurugaji 5. Mbea 6. Mvivu Kifikra 7. Katili Click to expand... Oya we Mnyaranda hii post inakuhusu vipi mkuu ?! Ningeshauri ukaendeleze kumfisia Paulina Kagagula maana uchawa ndio fani yako.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jul 28, 2022 #6 Ngoja waje kukupa muongozo...