Naomba mnijuze App nzuri ya kutenganisha wimbo na melod

Naomba mnijuze App nzuri ya kutenganisha wimbo na melod

Mkuu sikusoma vizuri Kumbe unataka ya kutenganisha vocals na instruments

Hii ni ngumu kidogo mana wimbo ukishakua mixed ni ngumu kutenganisha channels
Aaaa tena! ila App ya Moesis inajitahidi mkuu... kuna jamaa humu kanijuza
 
Back
Top Bottom