Naomba mnijuze kwa hili!!!

Naomba mnijuze kwa hili!!!

mwelulila

Senior Member
Joined
Jul 30, 2013
Posts
109
Reaction score
4
Je naweza kuhama course niliyochaguliwa kabla ya kwenda chuon kama niko jirani na chuo????na kama kunauwezekano pleasee anaejua process zake naomba anijuze!!!!NI HILO TU
 
  • Maelezo yako hayajitoshelezi.

  • Je ni kuhama course na kubakia chuo hicho hicho ulichochaguliwa? au
  • Kuhama course na kwenda chuo kingine kwa course uitakayo?

  • Ok Download na soma hii atachment. Itakusaidia kupata mwanga zaidi
Karibu
 
Attachments

ni kuhama course na kubaki chuo hicho hicho!!!!
 
  • Maelezo yako hayajitoshelezi.

  • Je ni kuhama course na kubakia chuo hicho hicho ulichochaguliwa? au
  • Kuhama course na kwenda chuo kingine kwa course uitakayo?

  • Ok Download na soma hii atachment. Itakusaidia kupata mwanga zaidi
Karibu

kubaki hicho hicho mkuu
 
kubaki hicho hicho mkuu
  • Fika chuoni,kamilisha taratibu zote za usajiri kisha onana na DPAA atakusaidia katika hilo. Kuhama course ni kitu kinachowezekana na huwa kinafanyika vyuoni.
 
asante mkuu nimekuelewa!!!!! thax xanaaaaa
 
  • Maelezo yako hayajitoshelezi.

  • Je ni kuhama course na kubakia chuo hicho hicho ulichochaguliwa? au
  • Kuhama course na kwenda chuo kingine kwa course uitakayo?

  • Ok Download na soma hii atachment. Itakusaidia kupata mwanga zaidi
Karibu

wanaohama chuo je?
loan allocation itakuwaje?
 
wanaohama chuo je?
loan allocation itakuwaje?
  • Kwa wanao hama chuo, download hiyo PDF attachment,post #2, fuata maelekezo. Deadline ni tarehe 16/09/2013
  • Loan allocation mchakato unaanzia kwenye chuo ulichoripoti. Utapata documents za uthibitisho then utaweza kufuatilia. Sababu mpaka sasa allocation ni katika chuo ulichochaguliwa.
  • Kama usipofuatilia kwa haraka na ukaribu, kuna uwezekanao mkubwa wa boom la kwanza kwako kuchelewa iwapo utakuwa tayari umehamia chuo kingine.
  • Angalia PM kuna maelezo mengine
Karibu.
 
zingatia pia points za hiyo course unayotaka kuhamia kama una qualify
 
  • Fika chuoni,kamilisha taratibu zote za usajiri kisha onana na DPAA atakusaidia katika hilo. Kuhama course ni kitu kinachowezekana na huwa kinafanyika vyuoni.

Je kuhama chuo lakin chuo hichohicho yaan kuhamia tawi lingne la chuo hicho inawezekana? Au n mpaka nipitie tcu/nacte?
 
  • Hakuna kisichowezekana, ukiwa na strong reason lazima utasaidiwa. Muone DPAA atakushauri nini cha kufanya katika hili.
  • Case yako ni kama hii: Assume umechagulia UoA BUHARE Center na wewe unataka UoA main Campus Arusha. Inawezekeka, ila kitu cha kwanza lazima uripoti uliko chaguliwa.

Mkuu Mwl.RCT me nataka kuhama chuo na fucult. Vigezo kwenye hiyo fucult ninavyo ila haipo kwenye ile list ya tcu ya fucult zenye slots!! Inawezekana nikafanikiwa mkuu?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mwl.RCT me nataka kuhama chuo na fucult. Vigezo kwenye hiyo fucult ninavyo ila haipo kwenye ile list ya tcu ya fucult zenye slots!! Inawezekana nikafanikiwa mkuu?
  • Jaribu kuomba, kimsingi unatakiwa chuo kwa kufuata faculty zenye slots, Sababu ndio sharti lililotolewa na TCU.
  • Jaribu yaweza kuwabahati yako, ukafanikiwa.
 
  • Hakuna kisichowezekana, ukiwa na strong reason lazima utasaidiwa. Muone DPAA atakushauri nini cha kufanya katika hili.
  • Case yako ni kama hii: Assume umechagulia UoA BUHARE Center na wewe unataka UoA main Campus Arusha. Inawezekeka, ila kitu cha kwanza lazima uripoti uliko chaguliwa.
Karibu

Asante sana
 
Asante sana

And vip kuhusu jina lako kutokuepo ktk wesite ya chuo/selected student yaan jina lipo tcuGnacte kua umechaguliwa chuo. Flan af kuchek ktk website ya hicho chuo nilichochaguliwa sipo je kuna madhara yyte yhadi kupelekea mtu kuto sajiliwa katika hicho chuo?
 
Back
Top Bottom