Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je naweza kuhama course niliyochaguliwa kabla ya kwenda chuon kama niko jirani na chuo????na kama kunauwezekano pleasee anaejua process zake naomba anijuze!!!!NI HILO TU
- Maelezo yako hayajitoshelezi.
- Je ni kuhama course na kubakia chuo hicho hicho ulichochaguliwa? au
- Kuhama course na kwenda chuo kingine kwa course uitakayo?
Karibu
- Ok Download na soma hii atachment. Itakusaidia kupata mwanga zaidi
kubaki hicho hicho mkuu

wanaohama chuo je?
loan allocation itakuwaje?
- Karibu
- Fika chuoni,kamilisha taratibu zote za usajiri kisha onana na DPAA atakusaidia katika hilo. Kuhama course ni kitu kinachowezekana na huwa kinafanyika vyuoni.
Je kuhama chuo lakin chuo hichohicho yaan kuhamia tawi lingne la chuo hicho inawezekana? Au n mpaka nipitie tcu/nacte?
Karibu
- Hakuna kisichowezekana, ukiwa na strong reason lazima utasaidiwa. Muone DPAA atakushauri nini cha kufanya katika hili.
- Case yako ni kama hii: Assume umechagulia UoA BUHARE Center na wewe unataka UoA main Campus Arusha. Inawezekeka, ila kitu cha kwanza lazima uripoti uliko chaguliwa.
Mkuu Mwl.RCT me nataka kuhama chuo na fucult. Vigezo kwenye hiyo fucult ninavyo ila haipo kwenye ile list ya tcu ya fucult zenye slots!! Inawezekana nikafanikiwa mkuu?

Asante sana
Asante sana