katika watu ambao comment zao hasa katika nyanja ya madini huchangia kwa msaada mkubwa ni wewe,ila nakuhakikishia tena limetoka kwenye mwamba wa mgodi wangu na sasa ninayo matatu,hata mm nilishangaa ndo maana nkauliza mabingwa wangu ka ww ningeona tourmaline,amesyst,nisinge shangaa kabisa.. The only tabia ya Madini especially ya yenye shape ya duara mara nyingi hutokaga mtoni, ndomana ukiona Madini yatokayo kwenye mwamba yanakuwa na angles, na madini yatokayo mtoni ni round shaped.
Mkuu hayo madini unachimba kwa mkono maana hivyo vidole vyako vimechoka kwelikweliMnisaidie bei elekezi naenda nalo sokoni ,Jiwe hili lina uzito wa gram 58 ni nimelipata kwenye kamgodi kangu ni non synthetic liko very transparent japo ndani linakama muonekano wa nyota ndogo sana ila mwanga unapita sana na nindeep greenukiliangalia kwa mbali linaonekana kama la rangi nyingi kwa ukaribu ni green nimepiga kwa mionekano yote,asanteni
Mnisaidie bei elekezi naenda nalo sokoni ,Jiwe hili lina uzito wa gram 58 ni nimelipata kwenye kamgodi kangu ni non synthetic liko very transparent japo ndani linakama muonekano wa nyota ndogo sana ila mwanga unapita sana na nindeep greenukiliangalia kwa mbali linaonekana kama la rangi nyingi kwa ukaribu ni green nimepiga kwa mionekano yote,asanteni
Mkuu hayo madini unachimba kwa mkono maana hivyo vidole vyako vimechoka kwelikweli
Mnisaidie bei elekezi naenda nalo sokoni ,Jiwe hili lina uzito wa gram 58 ni nimelipata kwenye kamgodi kangu ni non synthetic liko very transparent japo ndani linakama muonekano wa nyota ndogo sana ila mwanga unapita sana na nindeep greenukiliangalia kwa mbali linaonekana kama la rangi nyingi kwa ukaribu ni green nimepiga kwa mionekano yote,asanteni
Mnisaidie bei elekezi naenda nalo sokoni ,Jiwe hili lina uzito wa gram 58 ni nimelipata kwenye kamgodi kangu ni non synthetic liko very transparent japo ndani linakama muonekano wa nyota ndogo sana ila mwanga unapita sana na nindeep greenukiliangalia kwa mbali linaonekana kama la rangi nyingi kwa ukaribu ni green nimepiga kwa mionekano yote,asanteni
ELECTRIC GREEN N1 BLACK OPAL 2.30CTS JO 1234Mnisaidie bei elekezi naenda nalo sokoni ,Jiwe hili lina uzito wa gram 58 ni nimelipata kwenye kamgodi kangu ni non synthetic liko very transparent japo ndani linakama muonekano wa nyota ndogo sana ila mwanga unapita sana na nindeep greenukiliangalia kwa mbali linaonekana kama la rangi nyingi kwa ukaribu ni green nimepiga kwa mionekano yote,asanteni
waafrica zamani walikuwa wanachezea almas bao,ubaki huko peke yako
Aisee mkuu...!hakuna kitu hapo, katupe jalalani
unajua hilo jiwe ni tayari Treated (limeshachongwa na kusafishwa) ndio maanawaafrica zamani walikuwa wanachezea almas bao,ubaki huko peke yakohakuna kitu hapo, katupe jalalani
katika watu ambao comment zao hasa katika nyanja ya madini huchangia kwa msaada mkubwa ni wewe,ila nakuhakikishia tena limetoka kwenye mwamba wa mgodi wangu na sasa ninayo matatu,hata mm nilishangaa ndo maana nkauliza mabingwa wangu ka ww ningeona tourmaline,amesyst,nisinge shangaa kabisa
asante kwa kutokuwa serious na vijana wenzio tunaposaka maarifa,narudia limetoka kwenye mwamba na ninayo matatu
KahYaani wewe hadi huku unaharibu? Mie nilidhani unaharibu kwenye siasa tuu kumbe kila unapopita lazima ushushe uchafu wakohakuna kitu hapo, katupe jalalani