Naomba mnijuze, nina jiwe hili la gram 58

.. The only tabia ya Madini especially ya yenye shape ya duara mara nyingi hutokaga mtoni, ndomana ukiona Madini yatokayo kwenye mwamba yanakuwa na angles, na madini yatokayo mtoni ni round shaped.
katika watu ambao comment zao hasa katika nyanja ya madini huchangia kwa msaada mkubwa ni wewe,ila nakuhakikishia tena limetoka kwenye mwamba wa mgodi wangu na sasa ninayo matatu,hata mm nilishangaa ndo maana nkauliza mabingwa wangu ka ww ningeona tourmaline,amesyst,nisinge shangaa kabisa
 
Mnisaidie bei elekezi naenda nalo sokoni ,Jiwe hili lina uzito wa gram 58 ni nimelipata kwenye kamgodi kangu ni non synthetic liko very transparent japo ndani linakama muonekano wa nyota ndogo sana ila mwanga unapita sana na nindeep greenukiliangalia kwa mbali linaonekana kama la rangi nyingi kwa ukaribu ni green nimepiga kwa mionekano yote,asanteni
Mkuu hayo madini unachimba kwa mkono maana hivyo vidole vyako vimechoka kwelikweli
 
Mnisaidie bei elekezi naenda nalo sokoni ,Jiwe hili lina uzito wa gram 58 ni nimelipata kwenye kamgodi kangu ni non synthetic liko very transparent japo ndani linakama muonekano wa nyota ndogo sana ila mwanga unapita sana na nindeep greenukiliangalia kwa mbali linaonekana kama la rangi nyingi kwa ukaribu ni green nimepiga kwa mionekano yote,asanteni

Picha hazionekani mkuu,, post tena picha tuone
 
Mnisaidie bei elekezi naenda nalo sokoni ,Jiwe hili lina uzito wa gram 58 ni nimelipata kwenye kamgodi kangu ni non synthetic liko very transparent japo ndani linakama muonekano wa nyota ndogo sana ila mwanga unapita sana na nindeep greenukiliangalia kwa mbali linaonekana kama la rangi nyingi kwa ukaribu ni green nimepiga kwa mionekano yote,asanteni

Mkuu msaada wangu nitakuunganisha na madealer wakubwa wanaonunua kwa bei nzuri.Nipo Dar na sio dalali,0787485629
 
Mnisaidie bei elekezi naenda nalo sokoni ,Jiwe hili lina uzito wa gram 58 ni nimelipata kwenye kamgodi kangu ni non synthetic liko very transparent japo ndani linakama muonekano wa nyota ndogo sana ila mwanga unapita sana na nindeep greenukiliangalia kwa mbali linaonekana kama la rangi nyingi kwa ukaribu ni green nimepiga kwa mionekano yote,asanteni

Hili c jiwe boc ni synthetic
 
ELECTRIC GREEN N1 BLACK OPAL 2.30CTS JO 1234
 
waafrica zamani walikuwa wanachezea almas bao,ubaki huko peke yako

0715591141 nitafute tulitathmini kama vp tutaingia nalo sokoni, mimi siko mbali na bbuyers wa ki Thai hapa.....jiwe halidharauli hata siku moja
 
hakuna kitu hapo, katupe jalalani
waafrica zamani walikuwa wanachezea almas bao,ubaki huko peke yako
unajua hilo jiwe ni tayari Treated (limeshachongwa na kusafishwa) ndio maana
  • wanakuambia ni gololi
  • wanasema ukatupe
  • linaonekana halikutoka katika miamba kwani kwa 100% halina crack limeshachaguliwa km mtoni
  • lina polish au kungarishwa km ni wewe umefanya hivyo basi umepewa link na member kuwa mawe haya yapo Australia na bei wameweka

ELECTRIC GREEN N1 BLACK OPAL 2.30CTS JO 1234
 
katika watu ambao comment zao hasa katika nyanja ya madini huchangia kwa msaada mkubwa ni wewe,ila nakuhakikishia tena limetoka kwenye mwamba wa mgodi wangu na sasa ninayo matatu,hata mm nilishangaa ndo maana nkauliza mabingwa wangu ka ww ningeona tourmaline,amesyst,nisinge shangaa kabisa

Volcanic stone ndio huwa yenye tabia hizo, kimaumbile, mtelezo na mengine. Hayo hupatikana Kigoma na sehemu fulani fulani za Kagera. Hilo jiwe lipeleke kwa Wataalamu wa madini wakuthibitishie kwa sababu tutakayokwambia humu utachukulia kuwa mzaha, lakini ukweli ni kuwa halina value yoyote.
Tafuta mawe yenye rangi hiyo ufananishe, hakuna hata moja utakalolipata likiwa katika unprocessed state halafu likawa hivyo. Anza na haya: Green tourmaline, green garnett, Aqua Marline, Sapphire, na emerald.
 
Back
Top Bottom