The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 10,805
- 14,181
- Thread starter
- #21
katika watu ambao comment zao hasa katika nyanja ya madini huchangia kwa msaada mkubwa ni wewe,ila nakuhakikishia tena limetoka kwenye mwamba wa mgodi wangu na sasa ninayo matatu,hata mm nilishangaa ndo maana nkauliza mabingwa wangu ka ww ningeona tourmaline,amesyst,nisinge shangaa kabisa.. The only tabia ya Madini especially ya yenye shape ya duara mara nyingi hutokaga mtoni, ndomana ukiona Madini yatokayo kwenye mwamba yanakuwa na angles, na madini yatokayo mtoni ni round shaped.