Nirudi kwanza kwenye topic ya MwanajamiiOne asije akadhani natachakachua thread yake. Hii issue ilishajadiliwa kwenye blogu ya Dina, ambapo kuna mtu aliuliza hivi:
Sasa sijui kama ni wewe uliuliza, au ni coincidence lakini kwa wale wanaotaka kujua zaidi wanaweza kupitia comments 49 walioacha zilizoachwa pale. comments zinapatikana hapa:
Dina Marios(dm): NAOMBA KUJUA KAMA HILI LINAUKWELI.
There are myths everywhere. Pia tunajua kuwa kuwa wanawake huwa wana-face stereotypes every day. Generalizations ni kawaida kwetu na stereotypes zinaweza ku-harm jamii husika. Lakini hili la mwanaume kuoa mwanamke wa aina fulani kuwa anapati kismati sio geni. Nimeliskia sana. Wapo wanaume wanaoshauriwa waoe kwenye nyumba fulani kwa vile zina kismati. Utasikia "watoto wa yule baba wana kismati cha hali ya juu na nyota zao ni kali sana. Uneona watoto wa fulani wameoa pale, waume zao wamekuwa matajiri ghala" Those sort of things. The only thing is whether or not you believe in such myths.