nimekuelewa boss
hayupo JF, yupo mjini hapa..... ni social person, light skin, cute and very intelligent, yule mwenye gundu ni four yesar younger, light and not very intelligent........... funny thing ni kwamba they have some similarities kwenye morphology but one has some positive energy always
number one maybe, 2 and three sina hakika kabisaok
unaweza kukuta huyo mwenye mikosi
kuna matendo alifanya au anafanya
1ushirikina
2.tigo nimewahi sikia pia huleta mikosi
3.dhuluma
mimi nna ndugu wahindi na waarabu na waswahili tele
kuna vitu wahindi na waarabu hufanya sisi waswahili tunadharau
mfano kupenda kuishi ghorofani hata kama ni ghali mara tatu ya nyumba ya chini...
it turn out wanahusisha na bahati na kadhalika
jiulize wahindi wa tanzania mbona hawapendi kuishi nyumba za chini?
mkuu mbu mi ni muafrica
naweza sema nina bahati kuwa
namuamini mungu sana
but thru experience
ningeweza kuwa mshirikina sana
i was lucky kwamba niliona mungu pekee yake anatosha
ok
unaweza kukuta huyo mwenye mikosi
kuna matendo alifanya au anafanya
1ushirikina
2.tigo nimewahi sikia pia huleta mikosi
3.dhuluma
number one maybe, 2 and three sina hakika kabisa
nikupe mfano rahisi
una duka la nguo mfano kariakoo
halafu una wasichansa wawili,tuwaite angel na juliet
uki sleep na juliet mauzo hayapungui milioni 5
uki sleep na angel mauzo haya zidi milioni 3
na inatokea soo often.....
sasa hapo scientific analysis iko vipi?
honestly thru experience
nawaogopa mno watanzania wanaojifanya hawaaamini
ushirikina.....
most of them ndio magwiji mno.......wa ushirikina.
ni bora mtu aseme namuamini mungu tu nitamuelewa
experience niliyukutana nayo huwa
sometimes nafikiria kuandika kitabu hivi
Mkuu hiyo ya kuishi ghorofani haijaniingia. Otherwise, kwenye nchi za wenzetu kama UK wanoishi maghorofani ni the poorest class, wakati matajiri wanaishi kwenye ma-bungalow. Inaweza kuwa ni myth tuu.
ha ha ha!...EMT leo umeamua kuja kuweka mapointi yenye A* distinction tu hapa.
Big UP!
Tunaoishi kwenye Council Flats turie tu! ...riziki ughaibuni zinatambaa chini kwa chini...
mkuu hiyo ya kuishi ghorofani haijaniingia. Otherwise, kwenye nchi za wenzetu kama uk wanoishi maghorofani ni the poorest class, wakati matajiri wanaishi kwenye ma-bungalow. Inaweza kuwa ni myth tuu.
...ha ha ha, 'Wifi' ---Wireless Free Internet--- connection mbofu mbofu!
...haya mambo ya Supernatural ni insurance tu. Ukiyaamini sana huchelewi kukufuru na kumlaumu Mungu kwa kila misfortune.
...lahaula! Usinambie ushamtizamia nyota yake ukaona ana 'Gundu!' LOL...
Kumbe JF unaweza poteza possible suitors kwa kila 'footprints' unazoacha ee?
WanaMMU-JF..........habari za weekend?
Kwa muda mrefu nimekuwa nikisikia kuwa katika mahusiano na mapenzi kuna aina mbili za wanawake
1. Wale wenye kismat....yaani bahati flani kiasi kwamba akiwa kwenye mahusiano na mkaka basi huyo kaka mambo yake yanakuwa tambarare........
2. Wale ambao huwa wanakuwa kama wana nyota mbaya (wenyewe huita gundu???) ambao wakiwa kwenye uhusiano basi wenzi wao huwa na wakati mgumu sana kwani hakuna kinachofanikiwa be it kikazi, biashara yaani kimaisha kwa ujumla!!...
(Sasa sijui in yale ya Hayati Sheikh Yahya!)
So naomba msaada wa kujua yafuatayo
1. Je kuna ukweli wowote katika hili? na
2. Kama ni kweli, je na upande wa wanaume nao wapo wenye kismati na wasio nacho?
ni hayo tu, aksanteni
Leo kwenye kipindi tulikuwa na ishu moja ambayo ilipelekea kutokee mjadala ufuatao.Hivi ni kweli kuna wanawake wanakuwa na kismati flani hivi,pindi anapokuwa na mwanaume kimapenzi yule mwanaume hufanikiwa??yaani madili yake,mambo yake yote ya kipesa yanamwendea vyema akiwa na mwanamke huyo tu.Akiachana nae basi mambo yanakwenda mrama!!!!pls wanaume naomba mnisaidie kujua hili kama kweli lipo. Asante!!!!!
Nirudi kwanza kwenye topic ya MwanajamiiOne asije akadhani natachakachua thread yake. Hii issue ilishajadiliwa kwenye blogu ya Dina, ambapo kuna mtu aliuliza hivi:
Sasa sijui kama ni wewe uliuliza, au ni coincidence lakini kwa wale wanaotaka kujua zaidi wanaweza kupitia comments 49 walioacha zilizoachwa pale. comments zinapatikana hapa: Dina Marios(dm): NAOMBA KUJUA KAMA HILI LINAUKWELI.
There are myths everywhere. Pia tunajua kuwa kuwa wanawake huwa wana-face stereotypes every day. Generalizations ni kawaida kwetu na stereotypes zinaweza ku-harm jamii husika. Lakini hili la mwanaume kuoa mwanamke wa aina fulani kuwa anapati kismati sio geni. Nimeliskia sana. Wapo wanaume wanaoshauriwa waoe kwenye nyumba fulani kwa vile zina kismati. Utasikia "watoto wa yule baba wana kismati cha hali ya juu na nyota zao ni kali sana. Uneona watoto wa fulani wameoa pale, waume zao wamekuwa matajiri ghala" Those sort of things. The only thing is whether or not you believe in such myths.
Inawezekana lakini pia kuna waliozaliwa nje ya ndoa na wakatupwa lakini waliowaokota na kuwalea kwao wamekuwa wakibarikiwa sana. Na wao wakikua hufanikiwa pengine kuliko watoto halali waliozaliwa ndani ya ndoa hiyo iliyowaleana watoto waliozaliwa ndani ya ndoa huwa na bahati zaidi
Inawezekana lakini pia kuna waliozaliwa nje ya ndoa na wakatupwa lakini waliowaokota na kuwalea kwao wamekuwa wakibarikiwa sana. Na wao wakikua hufanikiwa pengine kuliko watoto halali waliozaliwa ndani ya ndoa hiyo iliyowalea
Mwanajamiione naomba nikutabirie:Kwa kuwa wewe nyota yako ni "mjusi" nakushauri ukaogee "m-bahati bahati" chini ya mti wa mchicha.Nyota yako itang'aa kama jua! teh,teh,teh.......mikosi ikizidi nitafute kwa ushauri zaidi!:glasses-nerdy:
...haya sasa,...halafu masharti yenyewe ndio utasikia eti akakogeshwe na 'fundi' baina ya saa nane nanusu usiku na kumi alfajiri!...wao wawili tu kwa masharti Mwj1 awe amejifunga upande wa kaniki!
No way, Mwj1 hata kama ni 'Gundu' bora tu ulikubali! ...hakuna kusafishana kwa namna hiyo bana...LOL!