Nafikiri kuna uwezekano huu..tuiite influence ambapo ili kupata ukweli kama kuna mtu mfano MTM ambaye anawezakuchanganua baadhi ya mambo yaliyokuwa yanafanywa na hao waliokuwa na nyota hafifu na wenye nyota njema. Mfano....
1, Mwanamke ambaye unahisi alikuwa/ana nyota nzuri anaparticipate vipi kwenye maisha yako kikazi, biashara au kimaisha tu kama kukushauri, kukutia moyo na kukupush katika kuhangaikia maisha............... na je hii iko tofauti kwa yule ambaye tunawezasema ana mkosi??
2. What other factors outside or around her ambazo zinawezakuwa zilichangia hayo mafanikio au failure yako? na
3. Je wewe mwenyewe umechangia kiasi gani katika hali hiyo uliyokuwa nayo wakati uko na any of the two.mfano unawezaukawa hujaitambua hamani au talent yako au kuwa na imani kuwa unawezafanya mambo makubwa sana so ukipata mwanamke ambaye naye atakuwa anakuchukulia kwa mtazamo wako kuwa yes hawezi basi unawezaona difference kubwa pale utakapokutana na yule ambaye anakupa moyo na kukuonyesha kuwa unaweza and the sky is the only limit.........kwa sababu utafanya kwa kuwa una suport na ukifanikiwa jambo lolote utasema ana kismeti au nyota njema.