Naomba mnijuze tafsiri ya neno pay row

Naomba mnijuze tafsiri ya neno pay row

kishimba75

Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
32
Reaction score
6
Wana jamii forum naomba tafsiri ya kiswahili sanifu cha neno la kiingereza la pay row. Mn nimeulizwa na staff mate wangu (ni mwingereza tena wa rangi nyeupe) nikapata aibu kutofahamu neno mbadala la kiswahi.
 
Haya matokeo ya form four tabu sana. Msidandie treni kwa mbele. Ni payroll, sio pay row.

In a company, payroll is the sum of all financial records of salaries for an employee, wages, bonuses and deductions. In accounting, payroll refers to the amount paid to employees for services they provided during a certain period of time. Payroll plays a major role in a company for several reasons.

Halafu usiwe mvivu wa kutumia mtandao kupata majibu. Unatuhangaisha hapa kwa vitu ambavyo ungeweza kupata majibu kwa urahisi kwenye mtandao. This is not fair. Tuna kazi nyingi zinatusubiri.
 
Msururu wa majina ya kwa ajili ya malipo na inaandikwa PAY ROLL
 
Wana jamii forum naomba tafsiri ya kiswahili sanifu cha neno la kiingereza la pay row. Mn nimeulizwa na staff mate wangu (ni mwingereza tena wa rangi nyeupe) nikapata aibu kutofahamu neno mbadala la kiswahi.
Yaani wewe unashindwa tu kuelezea maana yake au hilo neno hulielewi? sio lazima kuwe na neno moja kwa moja, kwani sio kila kitu unaweza kufanya tafsiri ya 1-1, ila kama wewe ni mswahili na pia unajua hicho kiingereza huwezi kukosa kuelezea payroll kwa kiswahili!
 
Akhasante kwa majibu pia nashukuru kwa ushauri wa kutokuchosha mn una majuku mengi lkn umeweza kutoa mda wako nisahihisha na kufafanua. Asante
 
Tho pamoja na kunikosoa lkn na mimi bado na kukosoa mn bado hujajibu swali langu mn hujatoa tasfiri ya neno payroll kwa kiswahili sanifu.
 
Haya matokeo ya form four tabu sana. Msidandie treni kwa mbele. Ni payroll, sio pay row.

In a company, payroll is the sum of all financial records of salaries for an employee, wages, bonuses and deductions. In accounting, payroll refers to the amount paid to employees for services they provided during a certain period of time. Payroll plays a major role in a company for several reasons.

Halafu usiwe mvivu wa kutumia mtandao kupata majibu. Unatuhangaisha hapa kwa vitu ambavyo ungeweza kupata majibu kwa urahisi kwenye mtandao. This is not fair. Tuna kazi nyingi zinatusubiri.

Mimi nilidhani ni MSEMO MPYA toka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufindi Tanzania:yo:
 
Aaah aaah. Spelling tu kaka. Km ww ulivyokosea badala ya Ufundi umesema Ufindi
 
pay = lipa
Roll = Kikuto

kuna haja ya kutafuta neno moja maana kweli hakuna tafsiri ya moja kwa moja, na tafsiri sisisi kama hiyo juu inakinzana na maana halisi ya neno PAYROLL. wapi BAKITA?
 
Orodha ya (majina) malipo. Yaani kiswahili darasa la nne mwana. miye nipo ulaya huku,muda wotw kizungu. Lakini uzawa kwanza
 
Unganisha ungajisha utapata maana yake, pay inamaaa gani row inamaana gani ziunganishe jibu tayari limepatikana =
 
Back
Top Bottom