kishimba75
Member
- Feb 7, 2013
- 32
- 6
Wana jamii forum naomba tafsiri ya kiswahili sanifu cha neno la kiingereza la pay row. Mn nimeulizwa na staff mate wangu (ni mwingereza tena wa rangi nyeupe) nikapata aibu kutofahamu neno mbadala la kiswahi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana jamii forum naomba tafsiri ya kiswahili sanifu cha neno la kiingereza la pay row. Mn nimeulizwa na staff mate wangu (ni mwingereza tena wa rangi nyeupe) nikapata aibu kutofahamu neno mbadala la kiswahi.
Yaani wewe unashindwa tu kuelezea maana yake au hilo neno hulielewi? sio lazima kuwe na neno moja kwa moja, kwani sio kila kitu unaweza kufanya tafsiri ya 1-1, ila kama wewe ni mswahili na pia unajua hicho kiingereza huwezi kukosa kuelezea payroll kwa kiswahili!Wana jamii forum naomba tafsiri ya kiswahili sanifu cha neno la kiingereza la pay row. Mn nimeulizwa na staff mate wangu (ni mwingereza tena wa rangi nyeupe) nikapata aibu kutofahamu neno mbadala la kiswahi.
Haya matokeo ya form four tabu sana. Msidandie treni kwa mbele. Ni payroll, sio pay row.
In a company, payroll is the sum of all financial records of salaries for an employee, wages, bonuses and deductions. In accounting, payroll refers to the amount paid to employees for services they provided during a certain period of time. Payroll plays a major role in a company for several reasons.
Halafu usiwe mvivu wa kutumia mtandao kupata majibu. Unatuhangaisha hapa kwa vitu ambavyo ungeweza kupata majibu kwa urahisi kwenye mtandao. This is not fair. Tuna kazi nyingi zinatusubiri.
Orodha ya (majina) malipo. Yaani kiswahili darasa la nne mwana. miye nipo ulaya huku,muda wotw kizungu. Lakini uzawa kwanza