secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 2,998
- 4,948
Wakuu naomba mnijuze vipindi vya Crown FM Radio na watangazaji wa vipindi hivyo maana kuna jamaa anaisifia sana hiyo redio.
Tangu Crown FM ianzishwe sijabahatika kuisikiliza zaidi ya kuambiwa na huyo jamaa kuwa ni bonge la redio hapa nchini Kwa sasa.
Mwili ulinisisimka Kwa jinsi jamaa alivyokuwa anaipamba mpaka nikafika kwenye mshindo, hivyo naombeni mnipe orodha ya watangazaji wa hiyo redio na vipindi wanavyoviendesha.