Naomba mnijuze vipindi vya Crown FM pamaja na watangazaji wa hivyo vipindi

Naomba mnijuze vipindi vya Crown FM pamaja na watangazaji wa hivyo vipindi

Wakuu naomba mnijuze vipindi vya Crown FM Radio na watangazaji wa vipindi hivyo maana kuna jamaa anaisifia sana hiyo redio.

Tangu Crown FM ianzishwe sijabahatika kuisikiliza zaidi ya kuambiwa na huyo jamaa kuwa ni bonge la redio hapa nchini Kwa sasa.

Mwili ulinisisimka Kwa jinsi jamaa alivyokuwa anaipamba mpaka nikafika kwenye mshindo, hivyo naombeni mnipe orodha ya watangazaji wa hiyo redio na vipindi wanavyoviendesha.
Kwanini usimuelekee yeye akupatie hayo
 
Saiv wapo na rich msafi na bonge mmoja iv planetbongo nlikua namkubali dula
Kwani rich msafinnaye yuko crow? Siyo kweli mkuu, juzi nilimsikia pale east Afrika alikuwa na januari omary na jamaa mmoja jina Leke limeniponyoka.
 
Alafu wanaosomea unakuta hawajui Kama wale talented
Ndo hivyo, unakuta mtu anaenda chuo kusomea journalism halafu ukimuuliza anawajua watangazaji wangapi anakuambia simjui mtangazaji yeyote.
Wanaowajua ni MC's wa mitaani wanapiga makelele kwenye send off.
 
Kweli io talented kitambo anasukuma gurudum sasa ww degree unaanza utangazaji lizee hujui ata tasnia ipoje
 
Back
Top Bottom