Naomba mnijuze vipindi vya Crown FM pamaja na watangazaji wa hivyo vipindi

secretarybird

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2024
Posts
2,998
Reaction score
4,948
Wakuu naomba mnijuze vipindi vya Crown FM Radio na watangazaji wa vipindi hivyo maana kuna jamaa anaisifia sana hiyo redio.

Tangu Crown FM ianzishwe sijabahatika kuisikiliza zaidi ya kuambiwa na huyo jamaa kuwa ni bonge la redio hapa nchini Kwa sasa.

Mwili ulinisisimka Kwa jinsi jamaa alivyokuwa anaipamba mpaka nikafika kwenye mshindo, hivyo naombeni mnipe orodha ya watangazaji wa hiyo redio na vipindi wanavyoviendesha.
 
KIPINDI WATANGAZAJI

Crown Sports: Juma Ayo, Jemedari, Geofrea

Jirani: Mwijaku, Riyama, Mariam Kitosi

The Throne: Dulla Planet, Travellar, Momo

Kasri: Salim Kikeke, Rukki, Imani Henrick
Tony 16 yupo kipind gan?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…