secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 2,998
- 4,948
- Thread starter
-
- #41
Sidhani, labda alikuwa nanamchapa Kwa fimbo ya musa kisawa sawaNdiye mke wa Afisa Habari wa TFF, Clifford Ndimbo? Alisimama vizuri wakati Ndimbo akipitia changamoto ya maradhi.
Ova
Siye huyu aliyekuwa akitangaza na marehemu Edson Mkisi pale Times FM?Sidhani, labda alikuwa nanamchapa Kwa fimbo ya musa kisawa sawa
Kocha wa WhatsApp sidhani kama yupo chini ya taasisi yeyote kwa sasaSilipingi hilo.
Hivi yule mchambuzi wao Omar majani yuko wapi siku hizi.
Abdul Aziz mrisho Mgawe Wamba katimkia wapi.Kocha wa WhatsApp sidhani kama yupo chini ya taasisi yeyote kwa sasa
Umbea na uchawa.Mwijaku na Riyama wanatangaza kipi cha maana?.
Jemedari Said Kazumari ovyo kabisa huyo.KIPINDI WATANGAZAJI
Crown Sports: Juma Ayo, Jemedari, Geofrea
Jirani: Mwijaku, Riyama, Mariam Kitosi
The Throne: Dulla Planet, Travellar, Momo
Kasri: Salim Kikeke, Rukki, Imani Henrick
Pia hayupo chini ya taasisi yeyote ya utangazaji kwa sasa, naona anapiga deals binafsi zaidi.Abdul Aziz mrisho Mgawe Wamba katimkia wapi.
Inaonekana wewe kwenye hizi ishu uko updated haswa.
Kakukosea nini mkuu.Jemedari Said Kazumari ovyo kabisa huyo.
Zero brain huyo. Ila ujuaji mwingi pamoja na hako ka Geoff.Kakukosea nini mkuu.
Binti kibonge.Riyama ni wa kike au wa kiume mkuu.