Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo umshauli hiyo 350'000= afanye biashara gani.Acha kaz hailipi ..fanya biashara
Kodi ya nyumba=.........?nauli 73,000
chakula 150,000"
vocha na bandle 20,000
emergency 50,000
saving 57,000...baada ya miezi kadhaa utanunua kanguo na vitu vya ndani kidogo kidogo
mi nimemwambia kutokana na upeo wangu wa mahitaji yangu mimiKodi ya nyumba=.........?
Umeme=........?
Maji=.......?
Chakula umemwambia atumie 150,000: Swali; 5,000 (mtu na mkewe) kwa siku inatosha? Chai? Kitafunwa?Lunch?Dinner?
Kusidia ndugu/wazazi kijijini=....?
Maendeleo:....?
Thanks kwa kumsaidianauli 73,000
chakula 150,000"
vocha na bandle 20,000
emergency 50,000
saving 57,000...baada ya miezi kadhaa utanunua kanguo na vitu vya ndani kidogo kidogo
Duuhhnauli 73,000
chakula 150,000"
vocha na bandle 20,000
emergency 50,000
saving 57,000...baada ya miezi kadhaa utanunua kanguo na vitu vya ndani kidogo kidogo
Hapo ndio kichwa kinauma zaidKodi ya nyumba=.........?
Umeme=........?
Maji=.......?
Chakula umemwambia atumie 150,000: Swali; 5,000 (mtu na mkewe) kwa siku inatosha? Chai? Kitafunwa?Lunch?Dinner?
Kusidia ndugu/wazazi kijijini=....?
Maendeleo:....?
Raha azizi umeumiza kichwa bure huyu mleta mada asema alipo lkn sio Zanzibar jimbo hadi jimbo sawa na mtaa hadi mtaa...nauli 73,000
chakula 150,000"
vocha na bandle 20,000
emergency 50,000
saving 57,000...baada ya miezi kadhaa utanunua kanguo na vitu vya ndani kidogo kidogo