Naomba mnipangie matumizi ya pesa kwa mwezi

Naomba mnipangie matumizi ya pesa kwa mwezi

immasakha

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
489
Reaction score
281
Mshahara wangu kwa mwezi ni 350,000. Naomba mnipangie matumizi ili pesa hiyo ikidhi mahitaji kwa mwezi mzima.

NB: Nina mke sijabahatika mtoto mpaka sasa.

Nauli ya kwenda kazini 2800 kwa siku.
 
nauli 73,000
chakula 150,000"
vocha na bandle 20,000
emergency 50,000
saving 57,000...baada ya miezi kadhaa utanunua kanguo na vitu vya ndani kidogo kidogo
Kodi ya nyumba=.........?
Umeme=........?
Maji=.......?
Chakula umemwambia atumie 150,000: Swali; 5,000 (mtu na mkewe) kwa siku inatosha? Chai? Kitafunwa?Lunch?Dinner?
Kusidia ndugu/wazazi kijijini=....?
Maendeleo:....?
 
Fanya hivi:
#1. Unga 25Kg= 30,000
#2. Mchele 5Kg =10,000
#3. Mafuta 5lita =17,000
#4. Sukari 2kg = 4000
#5. Mkaa = 10,000
#6. Maharage 3kg= 6,000

Jumla = 77,000

Mbonga = 81,000 kwa mwezi

Vocha 1000@siku jumla 30,000

Others 50,000



Saving 50,000

Nauli 62,000


Jumla 350,000



Nb;
Jitahidi kununua mahitaji ya mwezi mzima kwa vitu visivyoharibika.
 
Kodi ya nyumba=.........?
Umeme=........?
Maji=.......?
Chakula umemwambia atumie 150,000: Swali; 5,000 (mtu na mkewe) kwa siku inatosha? Chai? Kitafunwa?Lunch?Dinner?
Kusidia ndugu/wazazi kijijini=....?
Maendeleo:....?
Hapo ndio kichwa kinauma zaid
 
Ulichagua chama gani?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji11] [emoji3] [emoji3]
 
Jaribu kuweka priority kwanza let's say kama ni kodi,chakula,umeme na maji ambavyo ndo vitu vya msingi ukishamaliza kubalance hapo na uhakika utapata namna ya kupata pesa ya kusave cha msingi usifanye vitu ambavyo huna uwezo navyo na angalia usibaki na negative yaani deni kwa maana hutatoboa kabisa
 
Tupe mchanganuo wa matumizi yako tukuandalie bajeti.
 
Umewahi kuoa Mapema au mrudishe kwanza mke home usave hela ya mtaji
 
nauli 73,000
chakula 150,000"
vocha na bandle 20,000
emergency 50,000
saving 57,000...baada ya miezi kadhaa utanunua kanguo na vitu vya ndani kidogo kidogo
Raha azizi umeumiza kichwa bure huyu mleta mada asema alipo lkn sio Zanzibar jimbo hadi jimbo sawa na mtaa hadi mtaa...
 
Back
Top Bottom