Naomba mnipangie matumizi ya pesa kwa mwezi

Mchanganuo mzuri labda hapo imekosekana kodi ya nyumba, kama anaishi nyumba ya bure hapo poa.Umeme na maji navyo muhimu, na hiyo vocha sio lazima aweke kila siku unless kama ana important issues daily.
 
Kodi ya nyumba=.........?
Umeme=........?
Maji=.......?
Chakula umemwambia atumie 150,000: Swali; 5,000 (mtu na mkewe) kwa siku inatosha? Chai? Kitafunwa?Lunch?Dinner?
Kusidia ndugu/wazazi kijijini=....?
Maendeleo:....?
Sasa mawazo ya hawa watu wawili ndo mahitaji yako kwa mwezi... Bajeti yako lazima iguse hayo yote.... Gawa mwenyew cz unajua vzuri kila kitu kinagharimu sh ngap
nauli 73,000
chakula 150,000"
vocha na bandle 20,000
emergency 50,000
saving 57,000...baada ya miezi kadhaa utanunua kanguo na vitu vya ndani kidogo kidogo
 
Unae
Mshahara wangu kwa mwezi ni 350,000. Naomba mnipangie matumizi ili pesa hiyo ikidhi mahitaji kwa mwezi mzima.

NB: Nina mke sijabahatika mtoto mpaka sasa.

Nauli ya kwenda kazini 2800 kwa siku.
Unaenda kazn siku ngap
 
Nyani mzee kakwepa mishale mingi!!! Teh teh teh ashindwe yy
 
Naomba kuelewa kuhusu mkaa wa 10000..yupo mkoa gani
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji11] [emoji3] [emoji3]
Hilo nalo neno
 
Maji 10,000
Umeme 8000
Unga ugali 25kg 37,000
Mchele 5kg 10,000
Sukari 3kg 6,600

Mboga (hapa uelewe)...
Nyama kwa mwez mara 8 yaani twice per week(1/2 kg) 24,000
Mboga zingine km majani na jamii zake,dagaa na nyinginezo 20,000
Viungo vya mboga km nyanya,hoho,caroti,chumvi,vitunguu na vinginevyo 6,400

Nauli 62,000
Mkaa 20,000
Maharage (5kg) 10,000
Mafuta kula 5kg 18,000
Kodi 50,000
Vocha(hapa nunua ya wiki 2000)kwa mwez 8,000
Savings 20,000 kila mwez na usiitoe hata iweje!
Mengineyo.....40,000

JUMLA KUU 350,000
Utaweza km ukiamua ww na mkeo!
 
Maisha magumu sana.. Sijui ata kama unapataga nguvu ya kumgegeda mkeo
 
Mshahara wangu kwa mwezi ni 350,000. Naomba mnipangie matumizi ili pesa hiyo ikidhi mahitaji kwa mwezi mzima.

NB: Nina mke sijabahatika mtoto mpaka sasa.

Nauli ya kwenda kazini 2800 kwa siku.
Zanzibar Rais s kaongeza mshahara kwa asilimia 100?
 
fanya kibiashara japo cha vitumbua uongeze mtaji!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…