Naomba mnipangie matumizi ya pesa kwa mwezi

Naomba mnipangie matumizi ya pesa kwa mwezi

tafuta mradi mdogo mkeo anaweza anzisha biashara ya chapati na maandazi, mama ntilie etc unaweza ukajiongezea kipato baadae ukafungua genge hatimae duka
 
Fanya hivi:
#1. Unga 25Kg= 30,000
#2. Mchele 5Kg =10,000
#3. Mafuta 5lita =17,000
#4. Sukari 2kg = 4000
#5. Mkaa = 10,000
#6. Maharage 3kg= 6,000

Jumla = 77,000

Mbonga = 81,000 kwa mwezi

Vocha 1000@siku jumla 30,000

Others 50,000



Saving 50,000

Nauli 62,000


Jumla 350,000



Nb;
Jitahidi kununua mahitaji ya mwezi mzima kwa vitu visivyoharibika.
Vipi huyu jamaa halipi kodi, umeme, maji?
 
TEMBEA KWA MGUU
CHAKULA LAKI MOJA
NGUO ELF 50
SAVING LAKI MOJA
NAYOBAKI MENGINEYO ILA UNA HALI NGUMU NDUGU MKEO AWE TU NA BUSARA MAANA AKIJIACHIA TU HUNA BAHATI
 
Fanya hivi:
#1. Unga 25Kg= 30,000
#2. Mchele 5Kg =10,000
#3. Mafuta 5lita =17,000
#4. Sukari 2kg = 4000
#5. Mkaa = 10,000
#6. Maharage 3kg= 6,000

Jumla = 77,000

Mbonga = 81,000 kwa mwezi

Vocha 1000@siku jumla 30,000

Others 50,000



Saving 50,000

Nauli 62,000


Jumla 350,000



Nb;
Jitahidi kununua mahitaji ya mwezi mzima kwa vitu visivyoharibika.
Mkuuu Hapo bado kodi ya nyumba, umeme, Maji
 
TEMBEA KWA MGUU
CHAKULA LAKI MOJA
NGUO ELF 50
SAVING LAKI MOJA
NAYOBAKI MENGINEYO ILA UNA HALI NGUMU NDUGU MKEO AWE TU NA BUSARA MAANA AKIJIACHIA TU HUNA BAHATI
Hahahahhah eti hana bahati! you made my day miss
 
Fanya hivi:
#1. Unga 25Kg= 30,000
#2. Mchele 5Kg =10,000
#3. Mafuta 5lita =17,000
#4. Sukari 2kg = 4000
#5. Mkaa = 10,000
#6. Maharage 3kg= 6,000

Jumla = 77,000

Mbonga = 81,000 kwa mwezi

Vocha 1000@siku jumla 30,000

Others 50,000



Saving 50,000

Nauli 62,000


Jumla 350,000



Nb;
Jitahidi kununua mahitaji ya mwezi mzima kwa vitu visivyoharibika.
Good idear
 
TEMBEA KWA MGUU
CHAKULA LAKI MOJA
NGUO ELF 50
SAVING LAKI MOJA
NAYOBAKI MENGINEYO ILA UNA HALI NGUMU NDUGU MKEO AWE TU NA BUSARA MAANA AKIJIACHIA TU HUNA BAHATI
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Hiyo pesa ni Nyingi Sana
Tulia Utatoboa
Ila Usidumu kwa Hiyo kazi kwa Salary hiyo.
 
Hapo ni pazuri kwa kuanzia cha kufanya hapo tafuta extra income .

Mshahara hauwezi ukakidhi mahitaji yako 100% ila una kufanya unakua na movement zile za kawaida za kwenda na kurudi kutana na watu Fanya mambo mengine
 
Fanya hivi:
#1. Unga 25Kg= 30,000
#2. Mchele 5Kg =10,000
#3. Mafuta 5lita =17,000
#4. Sukari 2kg = 4000
#5. Mkaa = 10,000
#6. Maharage 3kg= 6,000

Jumla = 77,000

Mbonga = 81,000 kwa mwezi

Vocha 1000@siku jumla 30,000

Others 50,000



Saving 50,000

Nauli 62,000


Jumla 350,000



Nb;
Jitahidi kununua mahitaji ya mwezi mzima kwa vitu visivyoharibika.
Chakula 77,000 (Mchele kg 5!! ,mkaa 10000!!!!) then MBOGA 81,000!![emoji47]
Fanya hivi We si Unaishi Zanzbar, nenda kwa wavuvi kanunue dagaa debe zima weka ndani then utakuwa unaongeza na radha ya mchicha wa 500 kila siku. Samaki na nyama kula kwa kushtua unapokuwa na hamu basi kisha nunua mchele mwingi uwezavyo maana mchele hauharibiki, nunua mkaa hata gunia zima ili ukusaidie hata miezi ya mbeleni ila waweza tunza pesa kidogo kidogo ukanunua jiko la gas itakua vyema zaidi
 
nauli 73,000
chakula 150,000"
vocha na bandle 20,000
emergency 50,000
saving 57,000...baada ya miezi kadhaa utanunua kanguo na vitu vya ndani kidogo kidogo
Nipangie na mm mshahara wangu ni 180k. Nina mke mwenye una uzito wa miezi 8.5
 
nauli 73,000
chakula 150,000"
vocha na bandle 20,000
emergency 50,000
saving 57,000...baada ya miezi kadhaa utanunua kanguo na vitu vya ndani kidogo kidogo
Chagga baby oyoo ndo mana nawapenda sana akili mingi
 
Fanya hivi:
#1. Unga 25Kg= 30,000
#2. Mchele 5Kg =10,000
#3. Mafuta 5lita =17,000
#4. Sukari 2kg = 4000
#5. Mkaa = 10,000
#6. Maharage 3kg= 6,000

Jumla = 77,000

Mbonga = 81,000 kwa mwezi

Vocha 1000@siku jumla 30,000

Others 50,000



Saving 50,000

Nauli 62,000


Jumla 350,000



Nb;
Jitahidi kununua mahitaji ya mwezi mzima kwa vitu visivyoharibika.
Unaishi wapi Unga kilo 25 kwa bei hiyo
 
Back
Top Bottom