Sawa mkuu, ila ulumbi ni uhodari wa kutumia lugha kiufasaha, kwahiyo mtu anaeongea lugha ya kiswahili na kuiandika vizuri mbele ya hadhira huyo anaitwa mlumbi.Ingependeza pia kama jina la platform liwe linahusisha moja kwa moja na maudhui yanayopatikana ndan yake...
Ulumbi maana yake ni nini?
Hiyo ya translation bado sijaiweka ila itakua hapo sio muda na kuhusu kunufaika ni wewe muandishi ndie ambae unacontrol pesa zako kwa kupanga bei ya kuuza contents zako.Pia content zitawekwa kwa Kiingereza?..
Mbona sijaona pia option ya kubadili Lugha kwa Forum yako?.
(English - Swahili)
Mm napenda digital ideas...
Kwa wazo lako hili, Je mtungaji Story atanufaika? Na Kivipi?. Maana hizo lock ni za msomaji. Na hizo Coin input mwenye content anafaidikaje?
Mboni hakuna content hata moja?Natanguliza shukrani
Loading speed ipo chini sana debugAsante mkuu, nitafanyia marekebisho... Vipi una mapendekezo yoyote ya haraka haraka juu ya hilo?
Nadhani itategemea na mapokeo jinsi inavyokua ila itakua na translator ya kuhamisha lugha kutoka kwenye ile ya muandishi kuja kwenye ile ya msomaji anayoitaka.Hii ni "Medium" ya kiswahili sio?
Speed up loading speed iwe juu ya hio 7.6sAnhaa Asante sana... Na kweli niliona hili iko around 7.6s... unadhani ikikaa kwenye ngapi inaweza kufaa zaidi au unahisi lazy loading inaweza ikawa Bora zaidi?
Wazo lako ni zuri. Na binafsi nakuombea ufanikiwe kutokana tu na huu ubunifu wako. Sema kwenye jina ugebadilisha. Tafuta jila lenye maudhui ya kumvutia mtu.Sawa mkuu, ila ulumbi ni uhodari wa kutumia lugha kiufasaha, kwahiyo mtu anaeongea lugha ya kiswahili na kuiandika vizuri mbele ya hadhira huyo anaitwa mlumbi.
So nilipita na hilo jina kwakua ni platform ya contents zinazotumia lugha yenye kueleweka kwa wasomaji au hadhira.
Wewe unaona loading speed ya JF ilivyo sio km ya kwakoNashukuru mkuu... Hili nalifanyia kazi kuanzia sasa.
Fanya Load testing kwa mara nyingineNashukuru mkuu... Hili nalifanyia kazi kuanzia sasa.
Nashukuru sana mkuu, hili nitalifanyia kazi haraka sana... Ulumbi ni neno la kiswahili ila kama umeliskia huko upogoroni basi litakua limetoholewa kwenye ubantu huko huko.Wazo lako ni zuri. Na binafsi nakuombea ufanikiwe kutokana tu na huu ubunifu wako. Sema kwenye jina ugebadilisha. Tafuta jila lenye maudhui ya kumvutia mtu.
Ulumbi ni jina la Kipogoro kama sijakosea. Miaka hiyo nilikuwa nimejificha maeneo ya Isongo kule Mahenge, nilikuwa nalisikia sana kwa jamaa zangu Wapogoro wakati wanatongoza mabinti.