Naomba mnipe maoni na ushauri juu ya hili wakuu

Mbona wewe siyo mlumbi? ''Kujisajiri'' ndiyo nini?
 
Mbona wewe siyo mlumbi? ''Kujisajiri'' ndiyo nini?
Kweli Mimi bado Niko na shida kwenye lugha zote kwa maana sina lugha ninayoiweza kuiongea na kuiandika kiufasaha bila kufanya makosa lakini naamini walumbi wakijaa humo ndani basi nitaendelea kujifunza kupitia contents zao na labda baada ya mwaka au miaka kadhaa namimi naweza nikawa mmoja wao, ni nani ajuaye?
 
Na hio Domain Name fanya ubadirishe tafuta jina lenye kuita watu tena na tena, think and think and think again upate attractive and welcoming easy-to-remember Domain Name
Shukrani sana mkuu... Hili limepita.
 
Ulumbi ni lugha ya watu na ni wakina nani? Unajua unapoanzisha kitu weka kitu open lugha inayoeleweka na watu wote mfano amazon, JamiiForums, Facebook, nk what is Ulumbi?
 
Ulumbi ni lugha ya watu na ni wakina nani? Unajua unapoanzisha kitu weka kitu open lugha inayoeleweka na watu wote mfano amazon, JamiiForums, Facebook, nk what is Ulumbi?
Ulumbi ni kitendo cha kuandika au kuongea lugha fulani kwa ufasaha kwa hadhira.
 
Ulumbi ulumbi na udambu udambu ni ndugu?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
SidhaniπŸ˜…... Ulumbi ni sanaa ya kuchezea lugha kwa namna Bora ila udambu udambu unaweza ukawa sawa na udoho udoho hiviπŸ˜‚πŸ˜‚
 
SidhaniπŸ˜…... Ulumbi ni sanaa ya kuchezea lugha kwa namna Bora ila udambu udambu unaweza ukawa sawa na udoho udoho hiviπŸ˜‚πŸ˜‚
Udoho udoho ndo nn? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Yeah ule uhodari ndio huitwa ulumbi... Nimejaribu kuweka lazy loading so naomba ukipata wasaa uingie tena ili uniambie imekaaje sasa hivi
Pia Theme jitahidi iwe ya Kitamadun zaidi.
Weka rang au picha zenye muonekano wa asilia ya Kiafrika zaidi.

Maana story ming pia zitakuwa za Uhalisia wa kiafrika. Fanya wahusika wote wakiingia wajione wako Nyumban.

Naona themes imekaa kizungu
 
Hili nimelichukua kwa mikono miwili mkuu... Shukrani kwa ushauri huu mzuri.
 
Eeeh.
Transparency theme flan hivi nyuma ina Picha/rang za asili ya Kiafrika
Wazo zuri kaka... Nimeshaliweka kwenye to-do list yangu so nitafikiria namna nzuri ya kuweka huu ubunifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…