Naomba mnisaidie bajeti ya chakula Tukio la hitma

stevhinoz

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2021
Posts
228
Reaction score
509
Tunatarajia kufanya hitma.

Makadirio ni watu 200.

Nafikiria kuwa na vyakula vifuatavyo
Pilau
Nyama
Ndizi
Salad
Tunda
Maji

Wazoefu wa matukio, bajeti yake hapa itakuwaje?
 
Kilo 100 za mchele tena ule mzuri wa kyela si zaidi ya laki na nusu (nipe tenda hiyo nikuletee mzigo). Kilo moja kwa wastani wanakula watu zaidi ya wa4, so ukiweka kilo 100 ni kama utalisha watu 400 ambayo ni zaidi ya idadi uliyotaja.

Nyama nakushauri chukua kilo 50 pambana sana isiwe ya mifupa iwe steki tupu jazia na utumbo kama kilo 30. Kata vipande vidogo vya size ya nusu kidole cha mwisho, utapata ya kutosha kulisha watu mia mbili na ziada.

Ndizi mikungu mitatu inatosha sana. Labda kama utawalisha ndizi tupu ila kama unamix na wali mikungu mitatu inatosha.

Salad utanunua vitendea kazi kwenye soko kubwa pale na utapa mzigo wa kutosha ukienda kule kule.

Maji nadhani utachagua wewe uchukue ya katoni madogo yale au utataka ya size ya kati au yale makubwa ya lita 10. But yote yanatoshelezea.

Katoni chupa sita 3500, katoni 34 zinatosha.

Kama utataka connection ya hivi vyote kwa haraka nitafute siku tano kabla ya hiyo siku ya shughuli yako nikupe maelekezo uweze kusave budget.
 
Naomba namba yako nikupe Order ya Mchele uniletee Location Dar
 
Asante sana mkuu. Mimi nipo Dsm ila shughuli tunafanyia Morogoro. Vipi wewe ni caterer maana upo deep sana?
 
Back
Top Bottom