and 300
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 26,398
- 36,406
Mhasibu wa Baahapa ndipo uliongea sijui kuandika "Nimekuja kwenu kuomba msaada wa connection ya kupata kazi au internships katika field ya uhasibu, fedha, ukaguzi, masoko n.k". Halafu me niko upande wako nakutetea maana jamaa anataka ukafanye kazi baa wakati wewe ni mhasibu graduate