Godlove 17
Member
- May 7, 2023
- 32
- 68
Mkuu pole kwa maradhi ya ko ya goti nione mimi kwa wakati wako ili niweze kukutibia maradhi yako na upate kupona uguwa pole.Habari ndgu zangu niliumia mazoezini December 2022 goti likavimba baadae nikaenda hospital nikafanya vipimo kama x ray,MRI ya goti ikabainika nimepata impacted Trabecular fracture on medial tibia condyle nikatibitiwa Kwa kupewa dawa kama Diclofenac gel, Cartiflex na steroids injection uvimbe ukapungua sana ila bdo linauma .
Ndio ingawa hakuna majeraha yoyote Kwa njeuliumia?
Ndio nimeandika nimefanya vipimo vya x-ray na MRIulishawahi enda hospitali kuchunguza?
hapo ute umepungua (synovial fluid). unaweza chua kwa mimea tiba kama almit na zaituni.PoleNdio nimeandika nimefanya vipimo vya x-ray na MRI