Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hiyo ni fungal infection. Nunua anti fungal , to be precise kawaone madaktari, simple to treat!Jamani mtoto wangu anasumbuliwa na mashilingi kichwani tumejaribu baadhi ya dawa zimegoma,naombeni mnisaidie dawa nzuri ya kumtibu hadi yaishe
Asante mkuuhiyo ni fungal infection. Nunua anti fungal , to be precise kawaone madaktari, simple to treat!
Kumbe na hii inasaidia,asanteMnyoe kipara cha wembe
Muoshe kichwa mpake majivu asubuhi na jioni
Karne 21 bado tunafanya old fashined issues kama hizi? Vipi kama mtoto ni mwanafunzi,yaani aende na majivu shuleni?Mnyoe kipara cha wembe
Muoshe kichwa mpake majivu asubuhi na jioni
Asante mkuuPole sana mnyoe kipara harafu mpake kibiriti upele ulio changanya na maji ya nyanya.
Nikiwa namaana chukua nyanya ilio iva ikamue yale maji yake changanya na kibiriti upele msugue haswa kichwani hapo akiwa ameshaoga.
Pia epuka kumpaka mafuta kichwani ndani yasiku saba atakua kapona kabisaa.
Ok nilitaka tu kufahamu iyo huduma tumpatie mara ngap kwa siku?Kalibu nimeona umeni pm lakini pmyangu inashida kufunguka hivo naujumbe mwingi sana nashindwa kujibu watu ila kwaushauli na msaada chukua namba hapo kwenye picha ya wasifu.
Dawa zipi hizo zitajee. Ili watu waone na wapate msaada.Mtoto wangu alikuwa anasumbuliwa mara kwa mara na mashilingi. Nikampeleka kwa jamaa yangu Daktari (siyo hospital) akaniandikia dawa za kununua. Vidonge na tube y kupaka ambavyo alitumia mwezi mzima asubuhi, na jioni. Sasa hivi amepona kabisa.
Tatizo watu wengi hawakamilishi dose. Fungus wanachukua muda mrefu kupona